XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Kumalizana kwa kuchezea vichapo vitakatifu ?Kabla ya kuwaza huko, kwanza ni kumalizana na Al Ahly na Belouizdad ambao ndio wapo mbele ya Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumalizana kwa kuchezea vichapo vitakatifu ?Kabla ya kuwaza huko, kwanza ni kumalizana na Al Ahly na Belouizdad ambao ndio wapo mbele ya Yanga.
NdioUmeshapata ajira?
Yanga akijipanga group stage anapitaKabla ya kuwaza huko, kwanza ni kumalizana na Al Ahly na Belouizdad ambao ndio wapo mbele ya Yanga.
Yap itakua vyema sanaSiku ya mwananchi ijayo waalikwe
[emoji3][emoji3][emoji3] al ahly hakuna kitu paleHalf time hutorudi ww al ahly mwenyewe alikuwa anautafuta mpira kwa torch.
Kama vigogo wenyewe ndio hawa niliowaona AFL basi group stage na robo yanga anapita kuanzia semis ndo anaweza kukwamaHatua za mbele zipi hizo, we si umeshatoka hapohapo makundi
Msiichukulie poa yanga kumbukeni bingwa wa super cup alipaki basi dakika 180Mnacholingana na Mamelod ni rangi ya Jezi tu
Unapenda sana hili swali. Wanaume kupenda penda kula chunga sana ukienda jela.Umekula?
AahahahaUnapenda sana hili swali. Wanaume kupenda penda kula chunga sana ukienda jela.
Dabi? Unaumwa wewe, south na bongo inakuwaje dabi?Dabi ya Karne hyo, japo yanga watalemewa
Badili ID sasaNdio
Na bado akatwaa ndoo kwa kumpiga mtu kwa mkapa, unapaki basi mechi ambayo umeshinda 2!!! Maajabu hayaMsiichukulie poa yanga kumbukeni bingwa wa super cup alipaki basi dakika 180
Na Ihefu je? Ihefu na Sundowns ni bora kuliko YangaUshawahi kulifikiria hili pambano? Uenda ndio itakuwa mechi bora kuwahi kuchezwa kwa karne hii hapa Afrika. Nilitamani sana wakutane kwenye super cup ila waarabu walitibua msimu jana.
Ndizo timu za kibantu zinazocheza mpira mziri barani Afrika kwa sasa. Wanafanana style za uchezaji. Wote wanamiliki mpira, wote wanashambulia kama nyuki pale wanapohitaji goli, wote wanakabia kwenye nusu ya mpinzani, kubwa zaidi wote wana stamina na pumzi ya kumpelekea moto mpinzani dakika 90 kwa kasi ile ile.
Toumbe hii miamba ikutane hatua za mbele kwenye CAF champions league. Mpira utakaopigwa hautasahaulika.
Kwa mpira niliouona AFL al ahly tunamkanda nje ndaniHujacheza na al ahly unamtaka mamelodi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yesu alisema kabla ya kumnyooshea kidole mwenye kijiti machoni(mamelodi) toa kwanza huo mmBORITI(ihefu) huko nyuma gwako mkuu[emoji16]