Mamelod sundowns vs Yanga Afrika

Mamelod sundowns vs Yanga Afrika

Hatua za mbele zipi hizo, we si umeshatoka hapohapo makundi
Kama vigogo wenyewe ndio hawa niliowaona AFL basi group stage na robo yanga anapita kuanzia semis ndo anaweza kukwama
 
Ihefu vipi hamuwataki?
IMG_20231029_113705.jpg
 
Ushawahi kulifikiria hili pambano? Uenda ndio itakuwa mechi bora kuwahi kuchezwa kwa karne hii hapa Afrika. Nilitamani sana wakutane kwenye super cup ila waarabu walitibua msimu jana.

Ndizo timu za kibantu zinazocheza mpira mziri barani Afrika kwa sasa. Wanafanana style za uchezaji. Wote wanamiliki mpira, wote wanashambulia kama nyuki pale wanapohitaji goli, wote wanakabia kwenye nusu ya mpinzani, kubwa zaidi wote wana stamina na pumzi ya kumpelekea moto mpinzani dakika 90 kwa kasi ile ile.

Toumbe hii miamba ikutane hatua za mbele kwenye CAF champions league. Mpira utakaopigwa hautasahaulika.
Na Ihefu je? Ihefu na Sundowns ni bora kuliko Yanga
 
Hujacheza na al ahly unamtaka mamelodi 😂😂😂😂😂
Yesu alisema kabla ya kumnyooshea kidole mwenye kijiti machoni(mamelodi) toa kwanza huo mmBORITI(ihefu) huko nyuma gwako mkuu😁
 
Hujacheza na al ahly unamtaka mamelodi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yesu alisema kabla ya kumnyooshea kidole mwenye kijiti machoni(mamelodi) toa kwanza huo mmBORITI(ihefu) huko nyuma gwako mkuu[emoji16]
Kwa mpira niliouona AFL al ahly tunamkanda nje ndani
 
Back
Top Bottom