Mamelodi anabebwa sana na marefa, hii faulo wangeifanya Yanga, wangepewa kadi nyekundu. ndio maana kuna Petition za mamelodi kubebwa bebwa

Mamelodi anabebwa sana na marefa, hii faulo wangeifanya Yanga, wangepewa kadi nyekundu. ndio maana kuna Petition za mamelodi kubebwa bebwa

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi

Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki

jiulize ingekuwa Mwamnyeto ndie kacheza hii rafu kwa shaulile ingekuwaje ? je Var isingecheki ?

View attachment 2950636
Kwanini na penda Yanga na Simba wa ondolewe mapema tupate Amani kwenye media na kazini, moja yapo ndo hi, tuna poor reasoning sana.......unakuta wachambuzi wanaongea ujinga mtupu leo hili kensho jingine hajengi zaidi ya hisia zao
 
Hapo hamna kadi ni fair challenge kabisa na hapo ndio unatamani Mbape awe striker wako ufunge hadi uchoke
 
JamiiForums1381953234.jpg
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Back
Top Bottom