unaangalia mpira ama ushabiki tu..?Wee Komwee, em acha uwaki bas. Lol
Mamelodi hata wakicheza mpaka kesho asubuhi sioni kama wanaweza pata goli pale. Al Ahly wakitulia mbele wanaweza ondoka na ushindi.Mh! mamelodi wanavyocheza kama wamekunywa gongo!, hii game wasipobadilika wanalambwa!..
Anacheza Mpira mbovu Kama WA yangaHafanyi mashambulizi yamaana
Si unajua wanawake walivyo na gubu.. unaweza kuhifadhiwa hata miaka kumi, siku akiamua kukushushia vinu hutoaminiHaya ya Uto...na Mamelodi mpaka Leo umeyahifadhi tu.
shikilia maneno mkuu wanaweza kubadilika mpira timu inaweza ikacheza hovyo na ikapata matokeo!.. mpira huwa haueleweki japo nafasi ya ushindi anapewa zaidi anaecheza vizuri....Mamelodi anakufa hii game
Shida ya Mamelodi wana mpira wa aina moja. Ukijaza watu nyuma hawana jinsi nyingine ya kukufungaMh! mamelodi wanavyocheza kama wamekunywa gongo!, hii game wasipobadilika wanalambwa!..
Mkuu yanga inafikaje hapa..?πAnacheza Mpira mbovu Kama WA yanga
Opponents wanacheza strategicallyAkifanya ujinga anapigwa tu
maswala ya kusemana ni yakinadadaHupendi kusemwa?