Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
- Thread starter
-
- #81
kesho tutakuwa na mchezo wa NedBank cup dhidi ya maritzburg united baada ya hapo kutakuwa na mapunziko kupisha ratiba ya FIFA.Mechi yetu ya ligi tunacheza lini
kesho tutakuwa na mchezo wa NedBank cup dhidi ya maritzburg united baada ya hapo kutakuwa na mapunziko kupisha ratiba ya FIFA.
Baada ya michezo ya timu za taifa kuisha mchezo wetu unaofuata ni dhidi ya UTOPWII UTOPWENGA.
Hawa taifa watateseka sanaMathias esquivel(messi)...huyu mu argentina ataua mtu siku hiyo
Pale mbele simu hiyo mtoto sirino,lorch na shalulile afu kati anakaa mokoena,esquivel na mtoto captain zwane,na allende afu back three kama kawaida grant kekana,mdunyelwa na khuliso mudau uuuuuwwwiiiii FULL TIME MAMELODI4-UTOPOLO 0 TAIFA HIYO
Hahaha kwahiyo Masandawana wataingia na 3-4-3 siyo, bila kusahau pale langoni anakaa kipa la makipa mdaka mishale mwenyewe Ronwen Williams, hapo Watani wajiandae kuendelea kujifariji na zile tano tano zao za mchongo tu basi [emoji2][emoji2]Mathias esquivel(messi)...huyu mu argentina ataua mtu siku hiyo
Pale mbele simu hiyo mtoto sirino,lorch na shalulile afu kati anakaa mokoena,esquivel na mtoto captain zwane,na allende afu back three kama kawaida grant kekana,mdunyelwa na khuliso mudau uuuuuwwwiiiii FULL TIME MAMELODI4-UTOPOLO 0 TAIFA HIYO
Pata chimbika siku hizoπ€£Dooh the sky is above all mkuu
Siasa za simba na yanga ni ngumu sana azam kutoboa. Unaambiwa huko tff hadi serikalini mashabiki wa simba na yanga wamejaa! Ndio ije itokee azam achukue ubingwa miaka mitano mfulululizo kama mamelodi!? ThubuuutuMamelod ni Azam ya South maana kule wenye nchi ni Kaizer chiefs na Orlando...
Azam ina mfumo mbovu tu wa uongozi wakitulia ni mamelod ya Tanzania kabisa maana kila kitu wanacho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaota wewee.Fainali ni Yanga vs Al ahly
Ongezaa sautiiiiiiKatika michezo 18 ya ligi kuu ambayo tumecheza hadi sasa tumefunga goli 33 tumeruhusu goli 5 na CLEEN SHEET 13.
Thubutuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka Hawa nawatupia majini Hawa hawatoki
Na haturingi wala nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo hapa wana masandawana wazee wa roho mbaya
Ngoja siku hiyo utawakataaa haoooThubutuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maseko na shalulile wanachekea chooni.
Alliende anatabasamu bafuni.
Wangoni asili Yao ni south Africa πππNa haturingi wala nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maseko apone haraka sanaaa, plzTeam update: mchezaji wetu Thapelo Maseko anaendelea vizuri na kuna uwezekano mkubwa akawepo kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Maritzburg united siku ya jumapili.
Woyooooooooo
MasekoooooooooMathias esquivel(messi)...huyu mu argentina ataua mtu siku hiyo
Pale mbele simu hiyo mtoto sirino,lorch na shalulile afu kati anakaa mokoena,esquivel na mtoto captain zwane,na allende afu back three kama kawaida grant kekana,mdunyelwa na khuliso mudau uuuuuwwwiiiii FULL TIME MAMELODI4-UTOPOLO 0 TAIFA HIYO
Yaan Mokoena ni kaka angu kwa baba mkubwa.Wangoni asili Yao ni south Africa [emoji16][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamjua mudau? Bas mpe salamu pacomeeNgoja siku hiyo utawakataaa haooo
Yeye anamjua pacome fundii wa mpira huyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamjua mudau? Bas mpe salamu pacomee