Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
- Thread starter
- #81
kesho tutakuwa na mchezo wa NedBank cup dhidi ya maritzburg united baada ya hapo kutakuwa na mapunziko kupisha ratiba ya FIFA.Mechi yetu ya ligi tunacheza lini
Baada ya michezo ya timu za taifa kuisha mchezo wetu unaofuata ni dhidi ya UTOPWII UTOPWENGA.