Mechi ya Raja walicheza mfumo upi?possession football. Kama simba ilivyokuwa inacheza zamani ama yanga wanavyocheza sasa hivi
Kawaida Kwenye michezo hutokea kama unawaangalia Sundowns unaeza fananisha quality ya wachezaji wako nao past 3 season na hii ya msimu huu?
Naona wewe umekua ndo mtoa degree ya Kipimo cha kufahamu mpira si ndio ?
Soma vizuri nilichoandika ,nimekwambia kwa msimu huu team yenye quality ya kuperform zaidi ya Mamelodi ni Raja..
Halafu huyu Raja ndio huyu aliecheza na Horoya ,vipers na Hii simba ?
Upo sahihi kama tulimchapa Alahly mamelod ni nani?
Habari wakuu
Awali ya yote ningependa ku-declare interest kuwa nawataka Masandawana. Twende kwenye mada, imezuka mijadala mingi sana mitandaoni hususani kwa baadhi ya wachambuzi wakisema kuwa Mamelodi sundowns sio timu ya kuomba kukutana nayo. Wengine wakaenda mbali zaidi kusema kuwa ndio timu hatari zaidi.
Binafsi naheshimu ubora wa Mamelodi, nilipata wasaa wa kutizama game zao mbili tatu hususani ile game yao ambayo walimpiga Al ahly hamsa pale Africa kusini. Naomba niseme tu kwamba Mamelodi wako Overrated mno.
Nadhani ni kwa sababu ya kumnyanyapaa Al ahly ndicho kinachofanya watu wamzungumzie kiutofauti, ambapo obviously hajaanza leo toka kitambo al ahly anapotua Johannesburg basi Hamsa zina muhusu.
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa al ahly pia msimu huu hayupo vizuri, kinacho mbeba ni uzoefu tu ila hana timu, nisingeshangaa angepigwa nje ndani na mnyama simba kama angepangwa group moja.
Turudi sasa kwenye mada yetu, Mamelodi sundowns pamoja na kuwa Overrated sana bado hana mpira wa kutisha, nachelea kusema kuwa hata Raja CA ni maji marefu kwa Mamelodi. Kingine nilichokiona kwa Mamelodi ni aina yao ya uchezaji ambao uko very identical na uchezaji wa simba yani pira biriani a.k.a Sambaloketo.
Hivyo ikitokea timu hizi mbili zikakutana, basi Africa na Dunia kiujumla itashuhudia mechi ya karne, yani historical match, hivyo niwatoe hofu wanasimba wenzangu ambao mmeanza kutishika na maneno ya waganga njaa kuhusu Mamelodi sundowns.
Binafsi sintoshangaa kabisa kama simba akimtoa Sundowns kwenye hatua ya Robo fainali au hatua yoyote tutakayo kutana nae.
Nguvu moja [emoji881]
Mamelodi msimu huu yuko fire sio CAF sio kwenye ligi kote Wana fanya powa, final I awaita 🙌
Mechi ya Raja walicheza mfumo upi?
Katika misimu mitano wamefika semi finals mara moja. Wana kombe la CL pia kwa uchache huoni kama huo ni ukubwa tosha ambao sisi wote tunauota?Tumekuuliza hao Masandawana wenye mbinu za maana, ndani ya hii misimu mitano ya CAFCL waliwahi kuvuka robo fainali?
Kama hawakuvuka huoni kama unawapa ukubwa ambao kimsingi hawana?
Katika misimu mitano wamefika semi finals mara moja. Wana kombe la CL pia kwa uchache huoni kama huo ni ukubwa tosha ambao sisi wote tunauota?
Kwa jinsi nilivyoangalia mechi ,nimeangalia mechi za mamelodi 3 ,huyo wydad na js kabylie nilimuangalia ,pamoja na esperance pia nimemuona .Why useme raja ndie ana quality zaidi ya mamelodi.
Huku kuna timu ambazo zinamzidi Raja casablanca na hata mamelodi kwa kila kitu.
Esperence ama waydad anazidiwa nini na mamelodi?
Kwa jinsi nilivyoangalia mechi ,nimeangalia mechi za mamelodi 3 ,huyo wydad na js kabylie nilimuangalia ,pamoja na esperance pia nimemuona .
Mamelodi wako more offensive na effective kuamua mechi japo sipingi mawazo yako maana macho yanatofautiana
Katika misimu mitano wamefika semi finals mara moja. Wana kombe la CL pia kwa uchache huoni kama huo ni ukubwa tosha ambao sisi wote tunauota?
Huo ubingwa sikumaanisha ndani ya miaka mitano nilisema ana kombe la CL nikimsihi huyo jamaa kwamba sio timu ya kuibeza.Sio kweli. Ubingwa mamelodi amepata msimu wa 2015 / 2016.
Je kutoka mwaka 2016 mpaka leo ni misimu mitano imepita ama misimu zaidi ya saba imepita ?
Na je unatambua kwamba hata huo msimu wa ubingwa mamelodi robo fainali hakupita kwa kushinda mechi uwanjani ?
Mamelodi Alitolewa kwa kufungwa katika matokeo ya uwanjani ila alirudishwa mashindanoni kwa maamuzi ya Caf ya nje ya uwanja ndipo akacheza nusu fainali na fainali
Kwa namna aloupata huo ubingwa hata sisi tumepambana tukashindwa kwa hiyo bado sio timu ya kuibeza. Wapo mbali sana na sisi huku tuache ushabiki maandazi turudishe sense zetu zifanye kazi sawasawaUngekuwa unajua hata huo ubingwa aliupata vipi, ungenielewa.
Kwa namna aloupata huo ubingwa hata sisi tumepambana tukashindwa kwa hiyo bado sio timu ya kuibeza. Wapo mbali sana na sisi huku tuache ushabiki maandazi turudishe sense zetu zifanye kazi sawasawa
Mimi nawajibu mnaobeza wala sina shida nyie kufika robo fainali. Ila shida inaanza zile kauli zenu eti tunampa ukubwa asiostahili. NyieeeTukiachana na ule ubingwa wao mezani (kurudishwa kwenye mashindano baada ya kufungwa uwanjani), ndio nakubali wao wapo mbali kwa kufanikiwa kufika robo fainali ndani ya misimu sita mfululizo na tunapaswa kuwapongeza kwa hilo, ila kwa Simba Sc kufika robo fainali mara kadhaa, haipaswi kuchukuliwa kama mafanikio.
Umeeleweka[emoji1]
Unaota wewe mdadaWakuu hawa Raja wanatisha, alafu anakuja mtu anatubania pua eti ooh sijui Mamelodi pumbavu,, Mamelodi wachumba tu kwa hawa miamba