Mamelodi Sundowns wako Overrated

Mamelodi Sundowns wako Overrated

Kawaida Kwenye michezo hutokea kama unawaangalia Sundowns unaeza fananisha quality ya wachezaji wako nao past 3 season na hii ya msimu huu?

Namsaidia kujibu swali lako.

Mamelodi kuongoza group ni kawaida yake kila msimu huwa anafanya vizuri kwenye group stage ila robo anaenda kutolewa.

Kwa kipimo cha ubora Mamelodi sundown ya msimu huu sio kali kama ya msimu uliopita.

Msimu uliopita mamelodi sundown alifikisha point 16. Katoka mechi zake 6 za group stage.

Na Mamelodi ya mwaka jana ilimfunga Al ahly nje ndani..

Msimu huu mamelodi hawezi kufikisha point kama hizo hata akishinda mechi yake ya mwisho.

Kwa kipimo hicho ni ameshuka ubora caf akijilinganisha na mamelodi ya mwaka jana
 
Attachments

  • Screenshot_20230323-181738_Firefox.jpg
    Screenshot_20230323-181738_Firefox.jpg
    46.5 KB · Views: 8
Naona wewe umekua ndo mtoa degree ya Kipimo cha kufahamu mpira si ndio ?
Soma vizuri nilichoandika ,nimekwambia kwa msimu huu team yenye quality ya kuperform zaidi ya Mamelodi ni Raja..
Halafu huyu Raja ndio huyu aliecheza na Horoya ,vipers na Hii simba ?

Why useme raja ndie ana quality zaidi ya mamelodi.

Huku kuna timu ambazo zinamzidi Raja casablanca na hata mamelodi kwa kila kitu.

Esperence ama waydad anazidiwa nini na mamelodi?
 
Habari wakuu

Awali ya yote ningependa ku-declare interest kuwa nawataka Masandawana. Twende kwenye mada, imezuka mijadala mingi sana mitandaoni hususani kwa baadhi ya wachambuzi wakisema kuwa Mamelodi sundowns sio timu ya kuomba kukutana nayo. Wengine wakaenda mbali zaidi kusema kuwa ndio timu hatari zaidi.

Binafsi naheshimu ubora wa Mamelodi, nilipata wasaa wa kutizama game zao mbili tatu hususani ile game yao ambayo walimpiga Al ahly hamsa pale Africa kusini. Naomba niseme tu kwamba Mamelodi wako Overrated mno.

Nadhani ni kwa sababu ya kumnyanyapaa Al ahly ndicho kinachofanya watu wamzungumzie kiutofauti, ambapo obviously hajaanza leo toka kitambo al ahly anapotua Johannesburg basi Hamsa zina muhusu.

Lakini ni ukweli usiopingika kuwa al ahly pia msimu huu hayupo vizuri, kinacho mbeba ni uzoefu tu ila hana timu, nisingeshangaa angepigwa nje ndani na mnyama simba kama angepangwa group moja.

Turudi sasa kwenye mada yetu, Mamelodi sundowns pamoja na kuwa Overrated sana bado hana mpira wa kutisha, nachelea kusema kuwa hata Raja CA ni maji marefu kwa Mamelodi. Kingine nilichokiona kwa Mamelodi ni aina yao ya uchezaji ambao uko very identical na uchezaji wa simba yani pira biriani a.k.a Sambaloketo.

Hivyo ikitokea timu hizi mbili zikakutana, basi Africa na Dunia kiujumla itashuhudia mechi ya karne, yani historical match, hivyo niwatoe hofu wanasimba wenzangu ambao mmeanza kutishika na maneno ya waganga njaa kuhusu Mamelodi sundowns.

Binafsi sintoshangaa kabisa kama simba akimtoa Sundowns kwenye hatua ya Robo fainali au hatua yoyote tutakayo kutana nae.

Nguvu moja [emoji881]
Upo sahihi kama tulimchapa Alahly mamelod ni nani?
 
Mamelodi msimu huu yuko fire sio CAF sio kwenye ligi kote Wana fanya powa, final I awaita 🙌

Hata mamelodi ya mwaka jana ilikuwa kali kuliko hii ila bado robo fainali kama kawaida yake robo akatolewa.

Tazama group la mamelodi mwaka jana alivyoweka rekodi kwa points nyingi
 
Attachments

  • Screenshot_20230323-181738_Firefox.jpg
    Screenshot_20230323-181738_Firefox.jpg
    46.5 KB · Views: 8
Mechi ya Raja walicheza mfumo upi?

Katika mechi ya simba vs raja Direct football ilishindikana kwa simba baada ya raja kugoma kuucheza mpira tangu mwanzo wa mechi na hivyo kumlazimisha simba aucheze mpira yeye.

Mwisho wa Mechi ile simba alikuwa na ball possession 62 % huku raja alikuwa na ball possession 38 %.

Hiyo tu inakupa picha nani alicheza direct football na nani alicheza possession football kati ya simba na raja.

Ndio maana watu wanaojua mpira wanatambua simba ana nafasi ngumu kupita kama akipangiwa Esperence ama Wydad casablanca maana kitamkuta zaidi ya kilichomkuta kwa raja.

Mamelodi hawezi kucheza direct football ndio maana mara nyingi robo fainali huwa anatolewa na timu nyingi.. maana mamelodi anapenda kuucheza mpira hivyo wanamuachia aucheze tu. Wao wanamchezea direct football
 
Tumekuuliza hao Masandawana wenye mbinu za maana, ndani ya hii misimu mitano ya CAFCL waliwahi kuvuka robo fainali?

Kama hawakuvuka huoni kama unawapa ukubwa ambao kimsingi hawana?
Katika misimu mitano wamefika semi finals mara moja. Wana kombe la CL pia kwa uchache huoni kama huo ni ukubwa tosha ambao sisi wote tunauota?
 
Katika misimu mitano wamefika semi finals mara moja. Wana kombe la CL pia kwa uchache huoni kama huo ni ukubwa tosha ambao sisi wote tunauota?

Sio kweli. Ubingwa mamelodi amepata msimu wa 2015 / 2016.

Je kutoka mwaka 2016 mpaka leo ni misimu mitano imepita ama misimu zaidi ya saba imepita ?

Na je unatambua kwamba hata huo msimu wa ubingwa mamelodi robo fainali hakupita kwa kushinda mechi uwanjani ?

Mamelodi Alitolewa kwa kufungwa katika matokeo ya uwanjani ila alirudishwa mashindanoni kwa maamuzi ya Caf ya nje ya uwanja ndipo akacheza nusu fainali na fainali
 
Why useme raja ndie ana quality zaidi ya mamelodi.

Huku kuna timu ambazo zinamzidi Raja casablanca na hata mamelodi kwa kila kitu.

Esperence ama waydad anazidiwa nini na mamelodi?
Kwa jinsi nilivyoangalia mechi ,nimeangalia mechi za mamelodi 3 ,huyo wydad na js kabylie nilimuangalia ,pamoja na esperance pia nimemuona .

Mamelodi wako more offensive na effective kuamua mechi japo sipingi mawazo yako maana macho yanatofautiana
 
Kwa ufupi ni kwamba mamelodi anacheza mbinu ya kutawala kuucheza mpira wazungu wanaita possession football waswahili wanaita pira biriani

Esperence, raja ama wydad wao wanacheza direct football.. waswaili tunaita mpira wa matokeo. Yaani wanamuachia mpinzani akae na mpira yeye.. wao wakiupata wanapiga pasi ndefu tu na kumfunga kwa kibabe.

Na hiyo ndio sababu huwa wanapokezana kutwaa kombe kila msimu ni wao tu.

Mfano mechi ya simba vs raja. Mpira mwingi aliucheza simba na ball possession alifikisha 62% ila bado alifungwa 3 - 0 na raja iliyokuwa na ball possession 38%
 
Sio kweli. Ubingwa mamelodi amepata msimu wa 2015 / 2016.

Je kutoka mwaka 2016 mpaka leo ni misimu mitano imepita ama misimu zaidi ya saba imepita ?

Na je unatambua kwamba hata huo msimu wa ubingwa mamelodi robo fainali hakupita kwa kushinda mechi uwanjani ?

Mamelodi Alitolewa kwa kufungwa katika matokeo ya uwanjani ila alirudishwa mashindanoni kwa maamuzi ya Caf ya nje ya uwanja ndipo akacheza nusu fainali na fainali
Huo ubingwa sikumaanisha ndani ya miaka mitano nilisema ana kombe la CL nikimsihi huyo jamaa kwamba sio timu ya kuibeza.
 
Ungekuwa unajua hata huo ubingwa aliupata vipi, ungenielewa.
Kwa namna aloupata huo ubingwa hata sisi tumepambana tukashindwa kwa hiyo bado sio timu ya kuibeza. Wapo mbali sana na sisi huku tuache ushabiki maandazi turudishe sense zetu zifanye kazi sawasawa
 
Kwa namna aloupata huo ubingwa hata sisi tumepambana tukashindwa kwa hiyo bado sio timu ya kuibeza. Wapo mbali sana na sisi huku tuache ushabiki maandazi turudishe sense zetu zifanye kazi sawasawa

Tukiachana na ule ubingwa wao mezani (kurudishwa kwenye mashindano baada ya kufungwa uwanjani), ndio nakubali wao wapo mbali kwa kufanikiwa kufika robo fainali ndani ya misimu sita mfululizo na tunapaswa kuwapongeza kwa hilo, ila kwa Simba Sc kufika robo fainali mara kadhaa, haipaswi kuchukuliwa kama mafanikio.

Umeeleweka😄
 
Umeeleweka[emoji1]
Mimi nawajibu mnaobeza wala sina shida nyie kufika robo fainali. Ila shida inaanza zile kauli zenu eti tunampa ukubwa asiostahili. Nyieee
 
Wakuu hawa Raja wanatisha, alafu anakuja mtu anatubania pua eti ooh sijui Mamelodi pumbavu,, Mamelodi wachumba tu kwa hawa miamba
 
Back
Top Bottom