Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Mamelodi kashinda ngapi?Moto uliomwagwa jana nadhani sasa somo limeeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamelodi kashinda ngapi?Moto uliomwagwa jana nadhani sasa somo limeeleweka.
Ilikuwa bila bila tena Masandawana akiwa ugenini na akapewa Kadi nyekundu mbili.Mamelodi kashinda ngapi?
Mamelodi kashinda ngapi?
Yani tunaona matokeo halafu unasema wako overrated?? Ina maana watu wote wai overrate timu moja?
Wanaupiga mwingi sana ila tatizo lao ni kupoteza focus kwenye knockout stages mfano ni zile red card mbili walizopata first legMatokeo yao sio makubwa kama sifa zao.
Mfano leo wametolewa na waydad kwenye caf champions league .
Timu yenye sifa kama mamelodi haipaswi kuwa inatolewa tolewa kila msimu.
Unataka kusemaje kuhusu Wydad? Yaani una underrate timu moja ili ku justify mawazo yako kuhusu Timu nyingine. Tafuta hoja nyingine.Matokeo yao sio makubwa kama sifa zao.
Mfano leo wametolewa na waydad kwenye caf champions league .
Timu yenye sifa kama mamelodi haipaswi kuwa inatolewa tolewa kila msimu.
Mkiwa mnaambiwa msiwe mnashupaza shingo.Furaha yake ni umwambie mamelod ni wabovu
Ni Tanzania pekee timu inashinda goli nne ugenin alafu mtu alazimisha ni mbovu na kumbuka kaongoza kundi
Tatizo haukuwa unajiamini, kosa lako lilikuwa ni lipi?Kama nimewahi kuwakosea heshima Mamelodi kwa namna yoyote ile, nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa,, hawa jamaa wana uwasha!
Unasemaje sasa[emoji23].Hua mnawaza nini au mhemko?
Nusu fainal unaona ni hatua ya kawaidaMkiwa mnaambiwa msiwe mnashupaza shingo.
Mamelodi hawana bahati tu, ila mpira kama mpira nimewavulia kofia wana umwaga wa kutosha,, mpira mchezo wa wazi sote tunaona, jamaa wapewe maua yao.. Na ninaposema hawana bahati ndio kama hivyo wanaongoza beki wao anakuja anajifunga.Tatizo haukuwa unajiamini, kosa lako lilikuwa ni lipi?
Kumbe hoja ilikuwa sio wao kuchukua kombe?Nusu fainal unaona ni hatua ya kawaida
Tanzania tuna vituko sana
Mamelod wa mwaka huu hana tofauti na yule wa misimu mitano ya CAFCL iliyopita, hizi ndio hatua zake ambazo huwa anaishia. Msimu uliopita aliyolewa kijinga na Atletico Petroleos hapohapo kwao kwa kudraw kama alivyofanya jana.Mamelodi hawana bahati tu, ila mpira kama mpira nimewavulia kofia wana umwaga wa kutosha,, mpira mchezo wa wazi sote tunaona, jamaa wapewe maua yao.. Na ninaposema hawana bahati ndio kama hivyo wanaongoza beki wao anakuja anajifunga.
Hapana sikubaliani na ww timu za south africa hazina mpira wa kutumia nguvu kutaka kitu, wanapenda mpira wa show game yaan badala ya kutoa pasi moja mchezaji atapiga chenga atataka kupiga tobo kufinya vitu ambavyo mnaweza kucheza kama timu imeshashinda goal za kutosha ndo mnaanza mambo hayoMamelodi hawana bahati tu, ila mpira kama mpira nimewavulia kofia wana umwaga wa kutosha,, mpira mchezo wa wazi sote tunaona, jamaa wapewe maua yao.. Na ninaposema hawana bahati ndio kama hivyo wanaongoza beki wao anakuja anajifunga.
Habari wakuu
Awali ya yote ningependa ku-declare interest kuwa nawataka Masandawana. Twende kwenye mada, imezuka mijadala mingi sana mitandaoni hususani kwa baadhi ya wachambuzi wakisema kuwa Mamelodi sundowns sio timu ya kuomba kukutana nayo. Wengine wakaenda mbali zaidi kusema kuwa ndio timu hatari zaidi.
Binafsi naheshimu ubora wa Mamelodi, nilipata wasaa wa kutizama game zao mbili tatu hususani ile game yao ambayo walimpiga Al ahly hamsa pale Africa kusini. Naomba niseme tu kwamba Mamelodi wako Overrated mno.
Nadhani ni kwa sababu ya kumnyanyapaa Al ahly ndicho kinachofanya watu wamzungumzie kiutofauti, ambapo obviously hajaanza leo toka kitambo al ahly anapotua Johannesburg basi Hamsa zina muhusu.
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa al ahly pia msimu huu hayupo vizuri, kinacho mbeba ni uzoefu tu ila hana timu, nisingeshangaa angepigwa nje ndani na mnyama simba kama angepangwa group moja.
Turudi sasa kwenye mada yetu, Mamelodi sundowns pamoja na kuwa Overrated sana bado hana mpira wa kutisha, nachelea kusema kuwa hata Raja CA ni maji marefu kwa Mamelodi. Kingine nilichokiona kwa Mamelodi ni aina yao ya uchezaji ambao uko very identical na uchezaji wa simba yani pira biriani a.k.a Sambaloketo.
Hivyo ikitokea timu hizi mbili zikakutana, basi Africa na Dunia kiujumla itashuhudia mechi ya karne, yani historical match, hivyo niwatoe hofu wanasimba wenzangu ambao mmeanza kutishika na maneno ya waganga njaa kuhusu Mamelodi sundowns.
Binafsi sintoshangaa kabisa kama simba akimtoa Sundowns kwenye hatua ya Robo fainali au hatua yoyote tutakayo kutana nae.
Nguvu moja [emoji881]
Ilikuwa bila bila tena Masandawana akiwa ugenini na akapewa Kadi nyekundu mbili.
Kama uliona mechi Jana huwez kuwabeza Masandawana. Na South Africa huyo wydad hachomoki.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app