Hiyo Willete ipo vizuri sana ina Mabululu na Gilberto sio wachezaji wadogo hao. Wana uzoefu mkubwa sana.Timu za Angola huwa zinawasumbua sana Mamelod
Simba wakiweza kupata wachezaji watatu bora kwenye dirisha linalokuja kuna uwezekano wakafanya vizuri sana:-Namuona Simba akifika mbali zaidi safari hii pengine hadi kubeba ubingwa kabisa
Ndio. Sababu yeye ni bingwa, ilitakiwa apewe kigezo cha ubingwa alitetee kombe.
Hivi hata makombe mengine makubwa, mfano Uefa, World Cup ama Caf inakuwa hivyo?
Kwa mtizamo wako ni sawa Doumbia ni mshambuliaji mzuri lakini si wa viwango vya kuipa Simba kombe la CAF. Kwa mtu anayefahamu mpira hapo kwa Doumbia labda kama Simba wanataka kubeba kombe la Muungano. Ila kama Simba wapo serious wanalihitaji taji la CAF basi Simba wanahitaji kusajili mshambuliaji mwenye uwezo kama Mayele au anayekaribiana na uwezo alionao Mayele. Kuanzia kwenye makundi kwenda mbele huko hakuna beki za hovyo kama beki za De Agosto. Kama beki tu za timu za kawaida kwenye ligi yetu kama Mashujaa, Kagera, Pamba, Geita, Coastal na wengineo zimemsumbua huyo Doumbia vipi akikutana na beki za Pyramids?Hapo kwa mshambuliaji, Doumbia anatosha
Simba ya sasa unaifahamu vizuri kaka?Yanga na Simba badonsana kushindana Afrika na kuwa na imani kurudisha kokbe nyumbani, tukubali tu kwamba timu zetu hizi zimwshuka kidogo kiwango kwa misimu hii miwili...
Ingekuwa vile vikosi vya hapo nyuma ndio vinakutana na mazingira haya ya sasa, kidogo tungekuwa na matumaini ya timu mojawapo kukimbiza...
Simba ya sasa unaifahamu vizuri kaka?
Pole yao