Kwani game hii ya Mamelod inapigwa wakati mmoja na Mtibwa dhidi ya Simba?Ila wabongo watakuwa busy na mtibwa
Sio kweli, akifungwa bado atakuwa na nafasi japo ni kwa kutegemea Mamelod amfunge Al Hilal na yeye pia anatakiwa amfunge Al Hilal na Cotton sportHakika mwarabu akifanywa tu nje
Yule kipara anaechomekea aliefunga bao la kwanza kule Cairo nae yupo Vizuri sanaHabari za mda huu wakubwa
Leo itakuwa mechi ya ki historia apo BONDENI
ALAHALY CAIRO watakuwa wageni wa mamelody sundown MASANDAWANA
ikimbukwe mechi ya kwanza al ahaly alilazimisha sare akiwa kweke je leo kipi kitampata?
Wapenzi wa simba na yanga kaeni kitako muangalie mpira safi kutoka vijana wa MAMELODY
MAIULA uyu ata Manchester United anaaza winger ya Antony
PETER SHALULILR anacheza number 9 ya nunez Liverpool
NEO MAEMA ukimuangalia kwa umakini unaweza mkataa Martin odergard wa arsenal
View attachment 2545799
Imagine al ahly anaanza kuvunja vidole kwaajili ya kufuzu kwenda robo 😁😁Mpira wa vidole sasa unakuwa huo[emoji16]
Utamuona atakavyopambana Leo, ntaenda Banda umiza kuangalia mnyama anavyouacha ubingwa kwa yanga na kandanda safi la Africa baina ya hao wababeHakika mwarabu akifanywa tu nje
kakalia kuti kavuHakika mwarabu akifanywa tu nje