Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za mda huu wakubwa

Leo itakuwa mechi ya ki historia apo BONDENI

ALAHALY CAIRO watakuwa wageni wa mamelody sundown MASANDAWANA
ikimbukwe mechi ya kwanza al ahaly alilazimisha sare akiwa kweke je leo kipi kitampata?

Wapenzi wa simba na yanga kaeni kitako muangalie mpira safi kutoka vijana wa MAMELODY

MAIULA uyu ata Manchester United anaaza winger ya Antony

PETER SHALULILR anacheza number 9 ya nunez Liverpool

NEO MAEMA ukimuangalia kwa umakini unaweza mkataa Martin odergard wa arsenal

IMG_20230311_110630.jpg
 
Hakika mwarabu akifanywa tu nje
Sio kweli, akifungwa bado atakuwa na nafasi japo ni kwa kutegemea Mamelod amfunge Al Hilal na yeye pia anatakiwa amfunge Al Hilal na Cotton sport
 
Mpira wa vidole sasa unakuwa huo[emoji16]
 
Habari za mda huu wakubwa

Leo itakuwa mechi ya ki historia apo BONDENI

ALAHALY CAIRO watakuwa wageni wa mamelody sundown MASANDAWANA
ikimbukwe mechi ya kwanza al ahaly alilazimisha sare akiwa kweke je leo kipi kitampata?

Wapenzi wa simba na yanga kaeni kitako muangalie mpira safi kutoka vijana wa MAMELODY

MAIULA uyu ata Manchester United anaaza winger ya Antony

PETER SHALULILR anacheza number 9 ya nunez Liverpool

NEO MAEMA ukimuangalia kwa umakini unaweza mkataa Martin odergard wa arsenal

View attachment 2545799
Yule kipara anaechomekea aliefunga bao la kwanza kule Cairo nae yupo Vizuri sana
 
Al hilaly ataitaji sare 1 tu ili afuzu
 
Hakika mwarabu akifanywa tu nje
Utamuona atakavyopambana Leo, ntaenda Banda umiza kuangalia mnyama anavyouacha ubingwa kwa yanga na kandanda safi la Africa baina ya hao wababe
 
Back
Top Bottom