Mamelod Hawezi kuwa bingwa ukiachana na kuchukua ubingwa 2016 miaka yote iliyofuata imekuwa timu tishio tu kwenye makundi ila ikifika mtoano chalii hasa robo fainaliSafari hii ndiyo bingwa
Wengi Wana Mihemko tu, Hata History ya Mashindano HawaijuiMamelod Hawezi kuwa bingwa ukiachana na kuchukua ubingwa 2016 miaka yote iliyofuata imekuwa timu tishio tu kwenye makundi ila ikifika mtoano chalii hasa robo fainali
Hata hiyo point zero angeikosa.Asingepata point ata kutoka kwa cotton sport
Boss wa caf Ni boss wa mamelodKwanini Caf Waliruhusu hii Game Ichezwe Saa Tisa Lakini?
Wamechomoa wahuni
Kwanini Caf Waliruhusu hii Game Ichezwe Saa Tisa Lakini?
Uto yupo? Anayekupiga ww azam + Simba +Tp Mazembe ? Kwa taarifa tu ni kuwa utopolo ndio bingwa mpya wa cafcc 2022/2023 na makombe yote hapa tanzaniaAsingepata point ata kutoka kwa cotton sport
Unajuaga kila anaeiponda Simba ni yanga?Uto yupo? Anayekupiga ww azam + Simba +Tp Mazembe ? Kwa taarifa tu ni kuwa utopolo ndio bingwa mpya wa cafcc 2022/2023 na makombe yote hapa tanzania
Hii Ya Leo ni Saa Tisa MkuuMamelody asilimia 75 mechi zake za league anacheza saa 10