Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Safari hii ndiyo bingwa
Mamelod Hawezi kuwa bingwa ukiachana na kuchukua ubingwa 2016 miaka yote iliyofuata imekuwa timu tishio tu kwenye makundi ila ikifika mtoano chalii hasa robo fainali
 
Uko unapigwa mwingi sana Mwarabu ameikalia gone first half, ila huu ndio mpira possession 72% three shorts on target goal 3
 
Mamelod Hawezi kuwa bingwa ukiachana na kuchukua ubingwa 2016 miaka yote iliyofuata imekuwa timu tishio tu kwenye makundi ila ikifika mtoano chalii hasa robo fainali
Wengi Wana Mihemko tu, Hata History ya Mashindano Hawaijui
 
Wengi Wana Mihemko tu, Hata History ya Mashindano Hawaijui
Usikalili mamemlody pamoja na kuwa tishio hakuwahi mnyanyasa mwarabu cairo kama alivyofanya mwaka huu
 
Uto yupo? Anayekupiga ww azam + Simba +Tp Mazembe ? Kwa taarifa tu ni kuwa utopolo ndio bingwa mpya wa cafcc 2022/2023 na makombe yote hapa tanzania
Unajuaga kila anaeiponda Simba ni yanga?

Kama bado una mawazo ayo fikra zako nifinyu mno

Mimi ni shabiki na Mwanachama wa Azam

Sishabikii team za miaka 50 na hazina ata kiwanja cha kubumba
 
Back
Top Bottom