Peter shalile View attachment 2546259
Cotton sports vs Al Ahly inachezwa Cameron, na ndio game inayofuata tareh 17, Kuna uwezekano Game ya Al Ahly vs Al hilal ya Sudani ikamkuta Al Ahly kashafungasha virago vyakeAl Ahly anafuzu mzee. Hizo mechi za Coton na Al Hilal zote zinachechezewa Misri. Hamna anayetoka salama hapo.
Afadhali naww umwambie huyu mbwigaWe mwanangu mweupe kwelii kwenye soka la africa yaani kumnyanyasa unazungumzia sare wakati msimu wa mwaka juzi tu hapo walimpiga kabisa Al Ahly hapo hapo Cairo
Yaani unafikiri ikishakuwa Robo fainali kati ya Simba au Al Ahly nani utatamani ukutane nae?Kama historia ni hiyo inabidi Simba aombe akutane na Mamelodi ili apate mtelezo wa robo.
Al Ahly atashinda mechi zote mbili hizo. Kibarua kwa Al Hilal ni Mamelodi Sundowns pale Sudan, akimfunga atapita, akizingua Al Ahly ataenda kumchapa Misri na pia atampiga Coton popote pale.Cotton sports vs Al Ahly inachezwa Cameron, na ndio game inayofuata tareh 17, Kuna uwezekano Game ya Al Ahly vs Al hilal ya Sudani ikamkuta Al Ahly kashafungasha virago vyake
Acha kumlinganisha daktari wa mpira Aucho na matakata yote ya ligi ya Nbc..Alafu unakuta team ina aucho na sawadogo what a joke
Bado ana mechi mbili, moja nyumbani na Al Hilal akishinda zote anakuwa na point kumiAl ahly anapigwa huko.
Al ahly avuki kundi lake kuna wahuni watupu.
Alafu unakuta team ina aucho na sawadogo what a joke
Yaani unafikiri ikishakuwa Robo fainali kati ya Simba au Al Ahly nani utatamani ukutane nae?
Obvious kwa mimi mwanasimba nitaona bora hao wasauz
Kama Al Hilal atamfunga mamelod Sudan ni wazi Al Ahly shughuli yake itakuwa imeishia hapa lakini kwa ninachokiona mpaka sasa bado wana nafasi nzuri ya kusongaCotton sports vs Al Ahly inachezwa Cameron, na ndio game inayofuata tareh 17, Kuna uwezekano Game ya Al Ahly vs Al hilal ya Sudani ikamkuta Al Ahly kashafungasha virago vyake
Kwasababu ya historia yao kwamba wanashindwaga robo au kwasababu unawamudu kiuwezo?Yaani unafikiri ikishakuwa Robo fainali kati ya Simba au Al Ahly nani utatamani ukutane nae?
Obvious kwa mimi mwanasimba nitaona bora hao wasauz
Hiki ndio nakiona na mm Al Hilal wakijiroga hata kupata sare tu na Mamelod shughuli yao itakuwa imeishia hapoAl Ahly atashinda mechi zote mbili hizo. Kibarua kwa Al Hilal ni Mamelodi Sundowns pale Sudan, akimfunga atapita, akizingua Al Ahly ataenda kumchapa Misri na pia atampiga Coton popote pale.
Common mkuu why u go so low kwenye issue isiyo na faida kwako?,President Patrice ni married na very respectful guy,pls achana hizo maana Nami nitakudharau na kuku ignoreUnaanza kuleta ubuyu wabongo bhana