Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Al Ahly anafuzu mzee. Hizo mechi za Coton na Al Hilal zote zinachechezewa Misri. Hamna anayetoka salama hapo.
Cotton sports vs Al Ahly inachezwa Cameron, na ndio game inayofuata tareh 17, Kuna uwezekano Game ya Al Ahly vs Al hilal ya Sudani ikamkuta Al Ahly kashafungasha virago vyake
 
Hawa Mamelodi wakikutna na kinyumenyume fc Kuna watu watazimia pale taifa[emoji23][emoji23]
 
Kama historia ni hiyo inabidi Simba aombe akutane na Mamelodi ili apate mtelezo wa robo.
Yaani unafikiri ikishakuwa Robo fainali kati ya Simba au Al Ahly nani utatamani ukutane nae?
Obvious kwa mimi mwanasimba nitaona bora hao wasauz
 
Cotton sports vs Al Ahly inachezwa Cameron, na ndio game inayofuata tareh 17, Kuna uwezekano Game ya Al Ahly vs Al hilal ya Sudani ikamkuta Al Ahly kashafungasha virago vyake
Al Ahly atashinda mechi zote mbili hizo. Kibarua kwa Al Hilal ni Mamelodi Sundowns pale Sudan, akimfunga atapita, akizingua Al Ahly ataenda kumchapa Misri na pia atampiga Coton popote pale.
 
Jidanganye sasa
 
Yaani unafikiri ikishakuwa Robo fainali kati ya Simba au Al Ahly nani utatamani ukutane nae?
Obvious kwa mimi mwanasimba nitaona bora hao wasauz

Kwakuwa mpira mchezo wa bahati
Lkn kiuwezo hkn hata mmoja kati yao ambae Simba atammudu hapo
 
Cotton sports vs Al Ahly inachezwa Cameron, na ndio game inayofuata tareh 17, Kuna uwezekano Game ya Al Ahly vs Al hilal ya Sudani ikamkuta Al Ahly kashafungasha virago vyake
Kama Al Hilal atamfunga mamelod Sudan ni wazi Al Ahly shughuli yake itakuwa imeishia hapa lakini kwa ninachokiona mpaka sasa bado wana nafasi nzuri ya kusonga
 
Yaani unafikiri ikishakuwa Robo fainali kati ya Simba au Al Ahly nani utatamani ukutane nae?
Obvious kwa mimi mwanasimba nitaona bora hao wasauz
Kwasababu ya historia yao kwamba wanashindwaga robo au kwasababu unawamudu kiuwezo?
 
Al Ahly atashinda mechi zote mbili hizo. Kibarua kwa Al Hilal ni Mamelodi Sundowns pale Sudan, akimfunga atapita, akizingua Al Ahly ataenda kumchapa Misri na pia atampiga Coton popote pale.
Hiki ndio nakiona na mm Al Hilal wakijiroga hata kupata sare tu na Mamelod shughuli yao itakuwa imeishia hapo
 
Unaanza kuleta ubuyu wabongo bhana
Common mkuu why u go so low kwenye issue isiyo na faida kwako?,President Patrice ni married na very respectful guy,pls achana hizo maana Nami nitakudharau na kuku ignore
 
Back
Top Bottom