Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha hilo mkuu kuwa Mamelodi min wanna pezulu huwa wana struggle kwenye mtoano, hii team ni well oiled machine
Safi sana ngoja nisogee kwenye screenKashapigwa moja mwarabu
Msimu wa mwaka juzi pia alitolewa robo fainali.
Sio msimu mmoja tu. Mara kwa mara huwa anatolewa robo fainali
Salute mkuu ,final ya Mamelodi na Raja itakuwa superb 👌Mwaka jana walitoka robo fainal
Yaani hawa jamaa msimuu huu wasipofainal kucheza na Raja……
Haitanoga kwa kweli
Fanya hivyo ila elewa JF ni mnyama mkubwa sana, definitely itakuwepo uwanjani, 1-1Safi sana ngoja nisogee kwenye screen
Yes mkuu,defenders wa mamelodi Wali switch off, ila ni top class game mkuuWamechomoa wahuni
Wanaweza pangwa nusu wakutaneSalute mkuu ,final ya Mamelodi na Raja itakuwa superb [emoji108]
Yes mkuu 2-1,masandawana
Wamechomoa wahuni
Leo huyu mwarabu mbona tunaye,mpira mwingi sana wazulu tunaupigaTumeweka teeeena 2-1