Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Kikosi
IMG_20230311_160008.jpg
 
Ngoja niicheki, nataman mwarabu afe. Yanga na mamelodi ni ndugu sisi
 
Msimu wa mwaka juzi pia alitolewa robo fainali.

Sio msimu mmoja tu. Mara kwa mara huwa anatolewa robo fainali

Yaani hapo tu ndo wanapofeligi,,,
Sema msimu huu fainal Mamelod vs Raja
 
Back
Top Bottom