Mameneja wa bar, wamiliki wa majiko DSM muna shida gani?

Dar hii hii ambayo watu hawalali, labda ulienda kula kwa mama ntilie mkuu sio bar.
nilianzia Kibpzone, soweto, strong park, G7 nilipata ila hakukuwa na Ndizi wala chapati, nikaenda Kinyerezi nikaambiwa nisubiri kidogo nikaamua kusubiri nikapata. niliwahi pita pia barabara ya Goba nilizunguka hadi nikajiuliza huku ndio dar au?
 
Wafanyabiashara wengi wa vyakula Dar ni wavivu kupindukia
Nimeenda kula mbuzi katoliki siku ya Jmosi saa saba mchana.

Jamaa wa jikoni akaniambia imeisha.

Nikamuuliza vipi jioni itakuwepo akasema hapana.

Nikamuuliza swala la pili kwani mzigo mnaupata wapi? Akasema bosi huwa anachinja mwenyewe ana zizi kubwa. Nikauliza tena sasa ulishamjulisha kuwa nyama imeisha muda huu saa saba? Akasema bado atajijua mwenyewe bwana.

Nilichoka.

Saa saba wikend na jioni na kesho yake jpili, jatatu ni holiday mtu haoni umuhimu wa kumshitua bosi wake aongeze mzigo maana bado mapema sana.
 
nilianzia Kibpzone, soweto, strong park, G7 nilipata ila hakukuwa na Ndizi wala chapati, nikaenda Kinyerezi nikaambiwa nisubiri kidogo nikaamua kusubiri nikapata. niliwahi pita pia barabara ya Goba nilizunguka hadi nikajiuliza huku ndio dar au?
😀😀😀😀Mkuu kuna vitu vinachekesha sana. Hasa kama wewe unajielewa na unajali muda.
 
nilianzia Kibpzone, soweto, strong park, G7 nilipata ila hakukuwa na Ndizi wala chapati, nikaenda Kinyerezi nikaambiwa nisubiri kidogo nikaamua kusubiri nikapata. niliwahi pita pia barabara ya Goba nilizunguka hadi nikajiuliza huku ndio dar au?
Ni Dar mkuu na hiyo ni kawaida sehemu nyingi, ni wavivu kuhakikisha vyakula vinakuwepo kwa wakati, wahudumu wanahudimia wanajivuta kama wamefungwa mawe miguuni, usafi ni changamoto, ukimaliza kula kurudishiwa chenji nayo ni mapambano, shida tupu sehemu nyingi za huduma za chakula.
 
hata ugali tu wa Kupika dkika 15 watakuambia umeisha
Kuna mtu hadi saa nane anakwambia Ugali bado uko jikoni.

Hii ni Tanzania nzima, nilienda mkoa X. Kila mgahawa nikienda nakutana na Boda boda wamepaki foleni. Nauliza vipi Vhapati zipo wahudumu wakasema ni za kusubiri.

Nikaenda sehemu nyingine ya pili na ya tatu nikakuta hivyo hivyo.

Nikajisemea kimoyo moyo labda ni leo tu upepo hauko vizuri huenda raw materials hawakupata kwa wakati.

Mzee nilikaa miezi sita mchezo ni huo huo. Ukienda kupiga supu Chapati mnapangiana foleni.

Sasa unajiuliza hizi chapati wanatugawia bure? Kwanini hawawahi kuandaa mapema mpaka tunasubiriana tena zinapikwa harakaharaka hovyo tu.

Nikagundua ccm itatutawala sana kwa miaka mingi
 
Nimeenda kula mbuzi katoliki siku ya Jmosi saa saba mchana.

Jamaa wa jikoni akaniambia imeisha.

Nikamuuliza vipi jioni itakuwepo akasema hapana.

Nikamuuliza swala la pili kwani mzigo mnaupata wapi? Akasema bosi huwa anachinja mwenyewe ana zizi kubwa. Nikauliza tena sasa ulishamjulisha kuwa nyama imeisha muda huu saa saba? Akasema bado atajijua mwenyewe bwana.

Nilichoka.

Saa saba wikend na jioni na kesho yake jpili, jatatu ni holiday mtu haoni umuhimu wa kumshitua bosi wake aongeze mzigo maana bado mapema sana.
Hapo ndio utaelewa kwa nini hotel na Bar nyingi zenye huduma nzuri bongo ni zile ambazo mmiliki au meneja anashinda kwenye biashara na kutembelea meza za wateja kila sekunde.
 
Back
Top Bottom