Yenu bar ubungo. Ah kitambo sanaKuna sehemu nyingine hapa Dar ni hakuna kulala.
Imagine kwenye karne hii ya majiko ya gesi unaweza ufike mghawa mkubwa tu unaambiwa ugali umeisha na wahudumu wamejazana kwenye viti wanaangalia telemundo au Sultan!hata ugali tu wa Kupika dkika 15 watakuambia umeisha
Nenda kwenye bar zinazoka open 24hrskuna hawa wanaouza asubuh na had saa tatu inakuwa bado yaani ukihitaji uende kuanzia saa tano.
Ni ustadhiNenda kwenye bar zinazoka open 24hrs
Hata chako ni chako asubuhi hawana supuSHALLOM.
Nipo Dar kwa muda Kidogo ila kuna kitu kinanishangaza sana hasa kwa Dar maeneo ya wilaya ya Ubungo na maeneo mengine kuhusiana na suala zima la Uuzaji wa Vyakula hasa nyakati za asubuhi.
Ukipita Maeneo mengi wanayouzia KIfungua Kinywa kama Supu au mtori na n.k unakutana na Vituko sana Unafika sehemu inaweza kuwa ni saa tatu Asubuhi unaambiwa Supu bado, Au supu tayari lakini Chapati/ndizi bado.
Au ndizi tayari lakini Supu bado kuna Jambo moja nashindwa Kuelewa hivi kama Mtu unauza Kifungua Kinywa na hadi saa tatu hujamaliza, nyie watu wa DSM huwa kwenu chai munakunywa saa ngapi?
HIvi ndio wafanyabiashara wetu wamekosa kabisa maarifa na kuendana na Muda?
Imagine mtu umeamka zako na hangover usubiri supu hadi saa tano/
Au unawahi kwenda kwenye mishe mishe zako usubiri chai hadi saa tano?
Na ajabu mteja anapondoka kwa sababu ya Kukosa Huduma wala hawaonyeshi Kujutia chochote nikama wanafurahi kwamba Umeondoka.
Jambo la Mwisho hata ukienda Kula utaletewa baadhi ya Vitu vingine utaambiwa hamna labda ndizi/limao, pilipili nk utaambiwa mara zimeisha au bado hazijaandaliwa.
Kwa kumalziia unashangaa unaagiza tu hii Chai ya kawaida unaambiwa imeisha, hivi kuwasha Gas au kuchemsha chai inahitaji hata dakika Tano?
DSM maisha ya wafanyabiashara wengi ni kama wahudumu au wasaidizi wanaowaweka ni kam wanataka mshahara ila hawataki kazi unaenda bar unaomba Kuletewa kinywaji kinaisha unafukuza nzi nusu saa ndio unamuona mhudumu anjipitisha tena, na wakati mwingine unamuagiza kama naye humuagizii anaitosa meza yako hajali unachoingizia ofisi kwamba ndio kitakuwa mashahara wake.
Nirudi Dodoma sasa maana asubuh nikipita chako ni chako nakula supu na bia kadhaa ndio naenda kazini, pale mhudumu akikuletea kinywaji dakika tatu zikiisha anapita tena kukuulizia kama unaongeza. Anakuuliza na je unapenda huduma pendwa/ ee huduma ile yetu
kabla ya kuifanya watu wanaohusika wajirekebishe piaHiyo ni fursa mkuu ifanyie kazi
shida ziko mbili wasimamizi utakawapa hiyo mishe ndio watakuangausha. maana unatakiwa na wewe kila muda uwe hapo hapoMkuu umeona Fursa kwa machi yako Iko wazi Bado unataka kuikimbia kurudi dodoma
Tafuta watu sahihi na sio kuajiri kwa mazoeashida ziko mbili wasimamizi utakawapa hiyo mishe ndio watakuangausha. maana unatakiwa na wewe kila muda uwe hapo hapo
Aisee ni kweli kabisa..SHALLOM.
Nipo Dar kwa muda Kidogo ila kuna kitu kinanishangaza sana hasa kwa Dar maeneo ya wilaya ya Ubungo na maeneo mengine kuhusiana na suala zima la Uuzaji wa Vyakula hasa nyakati za asubuhi.
Ukipita Maeneo mengi wanayouzia KIfungua Kinywa kama Supu au mtori na n.k unakutana na Vituko sana Unafika sehemu inaweza kuwa ni saa tatu Asubuhi unaambiwa Supu bado, Au supu tayari lakini Chapati/ndizi bado.
Au ndizi tayari lakini Supu bado kuna Jambo moja nashindwa Kuelewa hivi kama Mtu unauza Kifungua Kinywa na hadi saa tatu hujamaliza, nyie watu wa DSM huwa kwenu chai munakunywa saa ngapi?
HIvi ndio wafanyabiashara wetu wamekosa kabisa maarifa na kuendana na Muda?
Imagine mtu umeamka zako na hangover usubiri supu hadi saa tano/
Au unawahi kwenda kwenye mishe mishe zako usubiri chai hadi saa tano?
Na ajabu mteja anapondoka kwa sababu ya Kukosa Huduma wala hawaonyeshi Kujutia chochote nikama wanafurahi kwamba Umeondoka.
Jambo la Mwisho hata ukienda Kula utaletewa baadhi ya Vitu vingine utaambiwa hamna labda ndizi/limao, pilipili nk utaambiwa mara zimeisha au bado hazijaandaliwa.
Kwa kumalziia unashangaa unaagiza tu hii Chai ya kawaida unaambiwa imeisha, hivi kuwasha Gas au kuchemsha chai inahitaji hata dakika Tano?
DSM maisha ya wafanyabiashara wengi ni kama wahudumu au wasaidizi wanaowaweka ni kam wanataka mshahara ila hawataki kazi unaenda bar unaomba Kuletewa kinywaji kinaisha unafukuza nzi nusu saa ndio unamuona mhudumu anjipitisha tena, na wakati mwingine unamuagiza kama naye humuagizii anaitosa meza yako hajali unachoingizia ofisi kwamba ndio kitakuwa mashahara wake.
Nirudi Dodoma sasa maana asubuh nikipita chako ni chako nakula supu na bia kadhaa ndio naenda kazini, pale mhudumu akikuletea kinywaji dakika tatu zikiisha anapita tena kukuulizia kama unaongeza. Anakuuliza na je unapenda huduma pendwa/ ee huduma ile yetu
Wauza vyakula dar karibu wote ni wapumbavu wasio weza kujifunza...wala kutumia akili ....wanatabia yakuigana upumbavu ...Baadae wachina waki-take over wanaanza kulalamika
Kila mahali watu ni wapigajiKuna mahali nilikunywa supu wateja wanahitaji Pepsi na zipo zinaonekana kwenye friji ila unaambiwa mwenye funguo bado hajafika na hiyo ni saa nne! Yani mwenye bar hawezi kuwaamini watu wa jikoni awaachie ufunguo wawauzie watu soda! Ni upuuzi mtupu.
Unaleta wahudumu wa kike unaanza kuwatongoza na kuwala......usitegemee kazi hapoWauza vyakula dar karibu wote ni wapumbavu wasio weza kujifunza...wala kutumia akili ....wanatabia yakuigana upumbavu ...
Na muhimu Zaidi asikule mfanyakazi wake.Tafuta watu sahihi na sio kuajiri kwa mazoea