Kuna mahali nilikunywa supu wateja wanahitaji Pepsi na zipo zinaonekana kwenye friji ila unaambiwa mwenye funguo bado hajafika na hiyo ni saa nne! Yani mwenye bar hawezi kuwaamini watu wa jikoni awaachie ufunguo wawauzie watu soda! Ni upuuzi mtupu.Yaani umelipa Supu elfu 5 unaambiwa pili pili bado haijaletwa au Ndimu zimeisha jana😀😀😀😀
sio rahisMimi nakufahamu lakini
hahah futa hiingoja tuwashtue wachina wakamate soko...
wanakuangalia kuanzia muonekana sio asee hatari sanaKumbe tupo wengi tunaopata huu usumbufu mfano kwa Madale Montana, Joy, Deez,Musu, Mbuzi Online halafu hata Goba mfano Texas, Trindad,Triple B, Plan B.
Wote ni hovyo tu poor customer care tena ukienda uko simple ndio vina nyodo balaa
Mchina akiingia supu anaanza kupika saa kumi ya usiku😁Baadae wachina waki-take over wanaanza kulalamika
CHAUMMA watarekebisha usihofu
Pale himo saa kumi na Moja asubuhi nilkunwya supuNairobi saa kumi na moja asubuhi unapata mahindi ya kuchoma ugali wa moto nk...
Pika kwakoSHALLOM.
Nipo Dar kwa muda Kidogo ila kuna kitu kinanishangaza sana hasa kwa Dar maeneo ya wilaya ya Ubungo na maeneo mengine kuhusiana na suala zima la Uuzaji wa Vyakula hasa nyakati za asubuhi.
Ukipita Maeneo mengi wanayouzia KIfungua Kinywa kama Supu au mtori na n.k unakutana na Vituko sana Unafika sehemu inaweza kuwa ni saa tatu Asubuhi unaambiwa Supu bado, Au supu tayari lakini Chapati/ndizi bado.
Au ndizi tayari lakini Supu bado kuna Jambo moja nashindwa Kuelewa hivi kama Mtu unauza Kifungua Kinywa na hadi saa tatu hujamaliza, nyie watu wa DSM huwa kwenu chai munakunywa saa ngapi?
HIvi ndio wafanyabiashara wetu wamekosa kabisa maarifa na kuendana na Muda?
Imagine mtu umeamka zako na hangover usubiri supu hadi saa tano/
Au unawahi kwenda kwenye mishe mishe zako usubiri chai hadi saa tano?
Na ajabu mteja anapondoka kwa sababu ya Kukosa Huduma wala hawaonyeshi Kujutia chochote nikama wanafurahi kwamba Umeondoka.
Jambo la Mwisho hata ukienda Kula utaletewa baadhi ya Vitu vingine utaambiwa hamna labda ndizi/limao, pilipili nk utaambiwa mara zimeisha au bado hazijaandaliwa.
Kwa kumalziia unashangaa unaagiza tu hii Chai ya kawaida unaambiwa imeisha, hivi kuwasha Gas au kuchemsha chai inahitaji hata dakika Tano?
DSM maisha ya wafanyabiashara wengi ni kama wahudumu au wasaidizi wanaowaweka ni kam wanataka mshahara ila hawataki kazi unaenda bar unaomba Kuletewa kinywaji kinaisha unafukuza nzi nusu saa ndio unamuona mhudumu anjipitisha tena, na wakati mwingine unamuagiza kama naye humuagizii anaitosa meza yako hajali unachoingizia ofisi kwamba ndio kitakuwa mashahara wake.
Nirudi Dodoma sasa maana asubuh nikipita chako ni chako nakula supu na bia kadhaa ndio naenda kazini, pale mhudumu akikuletea kinywaji dakika tatu zikiisha anapita tena kukuulizia kama unaongeza. Anakuuliza na je unapenda huduma pendwa/ ee huduma ile yetu
Sehemu za wachina wanakesha 24/7 sema ndy vyakula vyaoMchina akiingia supu anaanza kupika saa kumi ya usiku😁
Nilikuwa ninaitafuta hii comment.Zamani kulikuwa na bar kinondoni kiria bar saa 12 na nusu supu tayari
Ova
Kiria bar ilikuwa kila kitu kiko mapemaNilikuwa ninaitafuta hii comment.
Sipajui Kiria Bar, ila jina linasadifu kwamba boss ni Mchagga.
Siyo kwamba ninalisifia kabila langu, ila ninamaanisha kwamba Wachagga kwenye kazi tupo serious kuliko jamii nyingine.
Nimewahi kuwa na mzazi pale Hospitali ya Wilaya ya Ubungo.
Nilitoka asubuhi nikaanza kutafuta mtori kuanzia Baruti, ilipo Hospitali, nikaenda kuupatia pale Lego, Shekilango (Kwa Wachagga).
Nimeona mtoa mada kawasifia Chako ni Chako kwa kuwahi. Jibu ni kwamba pale napo ni kwa Wachagga.
Mimi nimeshaliongea sana hili lakini watu wananiambia sio mzalendo. Kama tulipeleka vijana wote Nairobi watajifunza mengi sana.Nairobi saa kumi na moja asubuhi unapata mahindi ya kuchoma ugali wa moto nk...
Wazalendo uchwara wanaendekeza uvivu tu.Mimi nimeshaliongea sana hili lakini watu wananiambia sio mzalendo. Kama tulipeleka vijana wote Nairobi watajifunza mengi sana.
Kiria bar ilikuwa kila kitu kiko mapema
Ova
Ndio maana hotel nyingi tu bongo zilikuwa zinaweka mameneja Wakenya kabla ya jiwe.Nairobi saa kumi na moja asubuhi unapata mahindi ya kuchoma ugali wa moto nk...