Mameneja wa bar, wamiliki wa majiko DSM muna shida gani?

Njoo vingunguti, huku hata saa 10 alfajiri unapata supu, chapati, ndizi teeena kwa bei sawa na buree.

Hivyo viungo ni wewe tu unajipimia, pilipili, limao, ndimu, chumvi ushindwe wewe tu.

Ubungo sio mahali pa kuishi hapo, kimbia.
 
Hata chako ni chako asubuhi hawana supu
 
Aisee ni kweli kabisa..
 
Kuna mahali nilikunywa supu wateja wanahitaji Pepsi na zipo zinaonekana kwenye friji ila unaambiwa mwenye funguo bado hajafika na hiyo ni saa nne! Yani mwenye bar hawezi kuwaamini watu wa jikoni awaachie ufunguo wawauzie watu soda! Ni upuuzi mtupu.
Kila mahali watu ni wapigaji
 
Wauza vyakula dar karibu wote ni wapumbavu wasio weza kujifunza...wala kutumia akili ....wanatabia yakuigana upumbavu ...
Unaleta wahudumu wa kike unaanza kuwatongoza na kuwala......usitegemee kazi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…