Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza Mhe. Salum Juma Mwalim, akizungumza na Wananchi wa Bariadi Mkoa wa Simiyu waliofika kwa ajili ya kumdhamini, leo Alhamis, Agosti 13, 2020.