Uchaguzi 2020 Mamia wajitokeza kumdhamini Tundu Lissu Bariadi Mkoa wa Simiyu

[emoji3577], Nimetazama ziara zake Tena Jana nilitaka niropoke kitu nikanyamaza. Leo nimegundua Jambo flan. Nimependa sana team iko vizuri. Fatilia ziara zake toka ameenda tume Kuna kitu utagundua
Mkuu nimegee siri ata PM
 
[emoji3577], Nimetazama ziara zake Tena Jana nilitaka niropoke kitu nikanyamaza. Leo nimegundua Jambo flan. Nimependa sana team iko vizuri. Fatilia ziara zake toka ameenda tume Kuna kitu utagundua
Tuendelee kumuombea
 
Unajua watu wa Kanda ya Ziwa, ni watu wema sana na wenye huruma sana. Umati huo umetoka kuja kumuona mtu aliyepigwa risasi na kupona, ni kwa mapenzi tu. Umati huo ni wale wanaoshanga lile tukio, siyo hao watakao piga kura come 28th October, 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…