Mamia ya raia wa Israel waikimbia nchi yao ,hofu ya vita na Iran

Mamia ya raia wa Israel waikimbia nchi yao ,hofu ya vita na Iran

Haya majitu ni makatili lakini wakati huo ni maoga ya kufa balaa.
Wamepewa information na wenzao vipi Base za Israel zilivyo chakazwa, Israel angetuonyesha hizo base.

Kaonyesha kidogo sana ile runway ilio dhurika kidogo, alitakiwa achukue base zake zote mbili kukanusha alicho ongea Iran kuwa ni uwongo, kakimbilia kuonyesha fuel tank ya Missile ya Iran, mbona hakutuonyesha head yake 😄

Wanadhani watu wote wajinga hawafahamu karibu yakupiga target fuel tank inajitoa kwenye head yake.
 
Wengi hawakuamini nchi yao kumbe haina uwezo wowote wa maana, haya magobole yote yalipigwa chini kizembe sana, ina maana Iran kwa sasa iko uchi...

main-qimg-d592046583f080c025788344638a5ac9
 
Toka October 7, Israel ilikuwa na machaguo mawili TU,kufia ndani au kuhamia uamishoni.
 
Waisarel wote ni waoga wa kufa balaa. Wanatamani kuishi hata mika 1000. Kila raia hapo Isarel ana paspoti ya nchi nyengine za huko Ulaya ndio mana wanakimbia. Hawako tayari kufa kisa Isarel

Lakini ni opposite thing kwa Wapalestina wako radhi wafe lakini sio kuhama. Kamwe hawaondoki nchini kwao.
Cheki huyu binti wa Palestina anasema watafia hapo hapo wala hawaogopi mabomu ya Israel


View: https://youtu.be/uJPNFIqsMXg?si=jKOEkFZbBfTXLItH
 
Wengi hawakuamini nchi yao kumbe haina uwezo wowote wa maana, haya magobole yote yalipigwa chini kizembe sana, ina maana Iran kwa sasa iko uchi...

main-qimg-d592046583f080c025788344638a5ac9
Hiyo ni booster huwa inakua separate wakati warhead inaenda kulenga target 🎯 nenda shule we mkunya ufute ujinga.
 
Kama una pesa hata kama unajua nchi Yako itashinda ni vyema kuhama, ila kama unajua itapigwa ni Bora kukaa ili uongezee nguvu,Ile kizalendo
 
Kutokana na mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya Iran na Israel pia uvamizi wa makombora na drones za Iran ndani ya ardhi ya israel kumekua na hofu kwa raia wa Israel hivyo kuikimbia nchi yao
maskini ya Mungu waisrael nao wamekuwa wakimbizi kama wa congo na burundi,kweli malipo hapa hapa ku-dunia
 
Back
Top Bottom