Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Ni kweli hata Mimi nilifanya nao kazi.
Huwa wanatumia nguvu nyingi sana kwenye sehem za kupatia ridhiki.
Huwa hawajiamini bila kukuovertake.
Next time uheshimu mawazo ya MTU, ukiona hukubaliani nayo, bora upotezee.
That's total BS and you know it . Basi kuja mchukue wale omba omba wengi sana wa Tz waliopo Nairobi waende wakule huo uvundo wa asali na maji chafu.Kweli kabisa ulivyosema, kama Tanzania ikiruhusu wakenya kuja kuishi Tanzania, ninahisi hata Uhuru Kenyatta atauvua urais wake kuja kuishi ktk nchi ya maziwa na asali.
Hakuna watu wanaojisikia na kujidanganya ati waku juu "holier and better than thou" kama hii mitanzania .Alafu ona vile wanaishi kwa shida pale Tandale na Mwananyamala slums.Hivyo ndivyo mnavyojidanganya
Hakuna mkenya anyetaka kuwa raia wa LDC nitakwambia hivyo bure bila kukulipisha the costs of my detailed survey of Kenyans.Hakuna raia wanaopigana Vita vya usiku na mchana ili wawe Watanzania kama raia wa Kenya
Kumbe wanasema hivyo eee!! Nilikua sijui ndo maaana wakawa wanajirahisisha kuolewa bule ili waishi Kenya eeHalafu kuna watanzania wanasema BORA NINGEZALIWA KENYA
Ndio hvyo yaani wanaboa sana hawako fair Kama tulivyo sisi watanzania.Nafanya nao kazi ni kweli vimbelembele kila kitu wanajua wao.
Kama ccm ndio inawanunua kwann serikali yenyewe iwakamate???CCM hao ndio wanawanunua...mkenya kw dili utamueza wapi
Watz ndio baadhi wanakimbilia kuoa kenya kupunguza gharama za mahali.Kumbe wanasema hivyo eee!! Nilikua sijui ndo maaana wakawa wanajirahisisha kuolewa bule ili waishi Kenya eeView attachment 1187740
Tuna ardhi kubwa sana ambayo hata hatujui matumizi yake na wao wanatafuta fursa kwa kila njia na wapo wanaowapa hizo fursa ili wajimilikishe kwa njia yeyote
Ifike mahali kama kuwakodishia walipe kodi stahiki kwa miaka kadhaa na ikiisha wanaongezewa ili tupate wawekezaji wa maana
Wanatamani kupata hata garden kwao na kuiita shamba
Mkuu mkuu sawa nakubali siasa inahusisha na mind flicking and mocking lakini sio ktk hili.
Mkuu mkuu sawa nakubali siasa inahusisha na mind flicking and mocking lakini sio ktk hili.
Yani wawaandae watu kuwazidishia uzito ktk kura kwenye general elections kwa kuwanunua halafu wenyewe wawashutumu kujiandikisha kiharamia ktk upigaji kura bro???!!!!!!
Haipenyi akilini kaka.
Mwekezaji akija mbona ardhi anapata kirahisi tu mzee? Tena kama ni kiwanda au plantation anapata for free,
Ila hatuwezi karibisha watu njaa kali kama Wakenya, Vinginevyo wakija ni Lazima tujiridhishe kwa kuangalia bank statements zao
Heri kurogana kuliko kufadhili ugaidi ili washambulie na kuwauwa raia wenu kwa misingi ya Ukabila.
Kama ccm ndio inawanunua kwann serikali yenyewe iwakamate???