Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Tayari tupo humo tunachuma na kuzirudisha nyang'auland...upende usipende.Endelea kuiota Tanzania, kamwe haturuhusu mkenya kuja kutuambukiza ukabila, wizi, Rushwa na ukatili katika nchi yetu ya maziwa na asali.
Hapa umekabwa Koo kwenye swala la logic ikabidi uitoe kadi ya matusi to be even.Ninahisi mama yako ndio mjinga na mpumbavu.
Haki yako isikwaze wengine, unajua maana ya neno pumbavu?, unaweza kumuambia baba yako kwamba alichosema ni upumbavu?Oh really?
Wewe una haki ya maoni na mimi nina haki ya kujibu nitakacho vilevile!
Usinipangie eti ninyamaze wewe kama nani?
Wewe Unataka haki ila wewe unapangie wengine wanyamaze kisa eti wewe umeongea??
Oh yeah?
Ipo tena kubwa.Kupiga kura? Vs Kutaka uraia wa tz?....mbn sioni connection hapo?
Wanakuja kuishi au kusoma???Pale Kuria land pamejaa watanzania watoto wa primary school wanasomea shule za Kenya. Tena enzi zangu primary school kuna wale walikua wakitoka dar kuja hadi Migori via Namanga route. Yani hadi barabara ya kutoka dar via tz ilikua ni shida. Kwa hivo tusijidanganye apa wakati mambo kwa ground ni tofauti sana
Ulevi ni wewe na jamii yenu yote. Kwa akili yako punguani yakibongo huezi jiuliza kwa nini mtoto wa primary school anatoka nchi moja jadi nyingine kwa ajili ya masomo? inasema nini kuhisu hiyo taifa yenye mtoto ametoka? na sio eti kuna vita humoWanakuja kuishi au kusoma???
Utakua umelewa ww.
Wanafunz kujazana huko kwenu na suala la uraia vinahusiana nn???
Wanakuja kuishi au kusoma???
Utakua umelewa ww.
Wanafunz kujazana huko kwenu na suala la uraia vinahusiana nn???
Hapa umekabwa Koo kwenye swala la logic ikabidi uitoe kadi ya matusi to be even.
Wewe kwa ushamba wako wa kutotembea ndio unajua hutokea upande mmoja, nenda kule pwani katika County ya Kwale, kijiji cha Vanga, watoto huvuka mipaka na kusoma shule za Tanzania, kijiji cha Jasini, na wananchi wa Kenya huvuka kufuata hospital katika vijiji vya Tanzania.Ulevi ni wewe na jamii yenu yote. Kwa akili yako punguani yakibongo huezi jiuliza kwa nini mtoto wa primary school anatoka nchi moja jadi nyingine kwa ajili ya masomo? inasema nini kuhisu hiyo taifa yenye mtoto ametoka? na sio eti kuna vita humo
Hivi mtu kusema huu ni upumbavu mtupu ndio hoja?, Kenya mumezoea kutukanana katika siasa zenu, huku hatujazoea, kwahiyo mtu akijaribu kutuletea tabia za Kenya, hata kama ni mtanzania, lazima ashikishwe adabu.Kw logic kapigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si wajua tena ccm akishindwa ni matusi
Haki yako isikwaze wengine, unajua maana ya neno pumbavu?, unaweza kumuambia baba yako kwamba alichosema ni upumbavu?
Hivi mtu kusema huu ni upumbavu mtupu ndio hoja?, Kenya mumezoea kutukanana katika siasa zenu, huku hatujazoea, kwahiyo mtu akijaribu kutuletea tabia za Kenya, hata kama ni mtanzania, lazima ashikishwe adabu.
Wewe kwa ushamba wako wa kutotembea ndio unajua hutokea upande mmoja, nenda kule pwani katika County ya Kwale, kijiji cha Vanga, watoto huvuka mipaka na kusoma shule za Tanzania, kijiji cha Jasini, na wananchi wa Kenya huvuka kufuata hospital katika vijiji vya Tanzania.
Mbona humu wanajisifu kuwa kwao ni bora kuliko Tanzania?Hakuna raia wanaopigana Vita vya usiku na mchana ili wawe Watanzania kama raia wa Kenya
Kwan huko kwenu raia wa nchi nyengine ana haki ya kupiga kura?Kupiga kura? Vs Kutaka uraia wa tz?....mbn sioni connection hapo?
Mwambie hata huku kuna waganda na waethiopa wanajisajili na kupiga kura kinyemela maana Wana muingiliano na watu wanaopakana nao mpakani. Huyo jamaa siku hizi amekua useless as his assholi.Una tuhuma za kijinga sana!
Mipakani watu kuingiliana ni kawaida ila tuhuma ulizoweka hapo ni za kipumbavu sana!
Mchawi hana tofauti na muuaji.Heri kurogana kuliko kufadhili ugaidi ili washambulie na kuwauwa raia wenu kwa misingi ya Ukabila.
Mkuu kuna jamaa yangu mkenya alishaniomba nimfanyie mpango apate pasi ya Tanzania,kuna mwingine juzi kati tu kaniomba nimfanyie mpango anunue kiwanja bongo tena akaenda mbali zaidi yuko tayari hata kuoa dada wa kitanzania ili mradi tu atimize ndoto yake ya kuishi bongo!
RAIA WA 100 KENYA WAKAMATWA MARA - Channel Ten
Zaidi ya watu mia moja Raia wa nchi ya kenya wamekamatwa wakijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye vituo mbalimbali katika mpaka wa kenya na Tanzania eneo la Sirari wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara baada yaviongozi wa ccm kuwabaini wakikiuka sharia za nchi wannchama wa jumuiya...www.channelten.co.tz
Kukamatwa kwa mamia ya wakenya huko ktk mkoa wa Mara, Tanzania kutaka kujiandikisha kuwa wapiga kura, kunaweza kuwa na maana mbili.
1) Kutaka kuhalalisha kupata uraia wa Tanzania, ili kutoroka hali ngumu ya maisha inayowakumba wakenya ikiwa ni pamoja na njaa.
2) Watumike kama mamluki wa Jubilee kupigia kura CHADEMA kama ilivyotokea mwaka 2015 ambapo Jubilee ilipigia kampeni CHADEMA na CHADEMA kumuunga mkono Uhuru Kenyatta 2017.