Bro!!! Jipange upya kwa taarifa yako sasa hivi niko Israel ikifika jumapili nitakuwa nina mwezi mzima niko huku!!! Niambie fukara gani anaweza kukaa huku mwezi mzima? Nakushangaa unaposema nafurahia watu kunyanyaswa mbona wewe Oct 07,2023 ulikuwa ukifurahia watu kubaka,kutesa,kutekwa na wengine 1,200 kuuwawa na magaidi wa Hamas? Kwa hiyo kwako wewe kunya anye kuku akinya Bata unasema kaharisha?? Kwa vitendo walivyofanya Oct 07,2023 bora tu wafe hakuna haja ya kuwa na watu kama hao!! Hivi wewe uliziona video vya walichokifanya siku hiyo? Hakuna haja ya kuwaonea huruma vibaka hao maana walifanya unyama wa kutisha sana kwa hiyo waache wavune walichopanda. Unalalamika mimi kushinda mtandaoni kwani wewe unashindwa kitu gani? Kama umekosa bundle niambie nikusaidie NGURUWE wewe!!. Unaniambia mimi fukara unanijua? Mara unaniambia sina watoto ulitaka nikuoe wewe unizalie watoto? Kwa taarifa yako mimi siyo fukara kama wewe niangalie hapo chini nakuimbia wimbo wa Taifa na napandisha bendera ya Taifa langu Tanzania nikiwa huku Israel kwa unaowachukia kupita kiasi. Wewe endelea na chuki zako za kijinga na