Mamia ya Wapalestina huko Gaza waondoka kwenda ughaibuni

Mamia ya Wapalestina huko Gaza waondoka kwenda ughaibuni

Kukata tamaa ni tabia za makafiri hio dhambi sisi tunaiepuka Fanya research uone wanajeshi wa Israel wanavyojinyonga kila iitwayo leo
Si watakuwa wameisha sasa?hii record tuliicheza kipindi flani ika buma. Makafir ya kiarabu yanachapwa tu. Tumechapika mbaya sasa tumekuwa motivational speakers
 
Si watakuwa wameisha sasa?hii record tuliicheza kipindi flani ika buma. Makafir ya kiarabu yanachapwa tu. Tumechapika mbaya sasa tumekuwa motivational speakers
Wale ni waarabu lakini ni waislam pia Hilo ndio tatizo linalompa taabu mazayuni, kuchapika hatujaanza leo maswahaba wengi wamechapika Sana enzi za mapanga, asifikiri mzayuni anacheza na dini lelemama Kama ukristo anavyowafanyia wanamnyenyekea atawasumbua wale waarabu wanafiki tu
 
Makafir wa kiarabu tunachapika sana Gaza imeisha sasa yamebaki magofu na palestinians zaidi ya 40,000 wameuawa hali ni tete. Assad alikimbia Syria. Kwenda hifadhiwa na makafir ya kizungu. Sasa Palestine Makafir ya Kiarabu/Kiislamu yanakimbilia kuishi kwa Makafir ya Kizungu
 
Nakujibu ya mwisho hii hao Hamas Bado wapo na leo wamewategesha vilipuzi wajinga wenzio wakiingia Kwenye tunnel wote 8 wamekaangwa. Hao 50+ elfu ni 80% ni wanawake na watoto hivyo jaribuni kuua wapiganaji ambao wako 40+ elfu wameongezeka kwenye hii ngwe ya pili, vinginevyo mnazidi kuisogeza vita mbele Bure tu
 
Nakujibu ya mwisho hii hao Hamas Bado wapo na leo wamewategesha vilipuzi wajinga wenzio wakiingia Kwenye tunnel wote 8 wamekaangwa. Hao 50+ elfu ni 80% ni wanawake na watoto hivyo jaribuni kuua wapigansji ambao wako 40+ elfu wameongezeka kwenye hii ngwe ya pili
Mayahudi wao hawacheki na Mbwa wanaua mpaka viroboto. Wameua Maarabu mengi sana na kubomoa makazi yao. Gaza imebaki magofi tu Makafiri wanahama au wanambia yamebaki Mayagudi yana taradadi. Maarabu yapo hoii. Hamas wanauliwa humo humo mashimoni wanapokimbilia
 
🇺🇸🇸🇾🇸🇾 — US forces begin withdrawal from Syria.

➡️According to multiple Syrian sources, this morning, US convoys loaded with equipment were spotted, as the first batch of 600 US troops scheduled to withdraw from Syria handed over control of their bases to the SDF.
 
—❗️🇱🇧/🇱🇧/🇮🇱 BREAKING: 'If the Lebanese Army decides to expel the Israeli enemy by force and enter into a battle, Hezbollah is ready to fight alongside them on the border' – Secretary General Naim Qassem

@Middle_East_Spectator
 
Reaper 20 zimeshushwa na muyemen

🇾🇪🇺🇸⚡The moment Yemen shoots down American MQ-9 drone

This is the 20th MQ-9 Yemenis have destroyed.
 
Mjadara wa middle east hasa Israel Vs Palestine sijui kwanini lazima dini zihusishwe? Hivi ni kweli kwamba wale jamaa wanapigania DINI? Why watu wa huku Africa huaga ndio tunafikiria hivo? Ni kweli hatujui wanacho pigania au tunajitoa AKILI?
 
Mfuga midevu na majini vipi Majini yako yamepanda? Njoo huku tukuombee yakutoke kwa jina la Yesu!!!
Hata picha za yesu ambazo umeaminishwa wkt ni Deon dacron ameweka ndevu na kavaa kobazi....mgalatia ndevu zinawekwa hazifungwi...anayefugwa ni kuku..
 
Mjadara wa middle east hasa Israel Vs Palestine sijui kwanini lazima dini zihusishwe? Hivi ni kweli kwamba wale jamaa wanapigania DINI? Why watu wa huku Africa huaga ndio tunafikiria hivo? Ni kweli hatujui wanacho pigania au tunajitoa AKILI?
Watu wanaijitoa ufahamu tu bure lakini ukweli unabaki palepale kuwa vita hivi si vya kidini lakini upande mmoja unataka kujifanya viwe vya kidini kwa kuingia dini ndani
 
Back
Top Bottom