Mamia ya Wapalestina huko Gaza waondoka kwenda ughaibuni

Wewe Phares Elisha ulikuwa mwana jeshi ukafukuzwa kwa sababu za kinidhamu umeona ukimbilie Isreal watakukubali
Mada ni “MAMIA YA WAPALESTINA HUKO GAZA WAONDOKA NA KWENDA UGHAIBUNI” leo wewe umeigeuza kuwa ya Phares Elisha pole sana kwa kuteseka!! Tafuta pesa ya Echolima mwachie mwenyewe wewe huyawezi!!
 
Ntayawezaje kwa mfano, mambo yako makubwa
 
Uislam haushindwi ndugu yangu wao wanashindana, sisi ndio maisha yetu jihad huo ndio utofauti kati Yao na sisi hivyo hawatapumzika
Ukiona kundi la watu wanashangilia sana vita basi ujue hiyo sio dini bali ni utamaduni tu wa jamii fulani. Dini ya ukweli kamwe hawawezi kupenda mambo ya vita.
 
Mamia kadhaa zaidi ya watu wa Gaza wamehamia ughaibuni kimya kimya wengi wao wameenda Indonesia 🇮🇩

Israel inafanya kila iwezalo kuwezesha maono ya Rais Trump kuhusu Gaza kuna wajinga wengine wanasema hilo haliwezekani wakati sasa hivi linatekelezwa!!

Nchi zilizochukua wahamiaji wa hivi karibuni kutoka Gaza nazipa pole sana kwa kuwapokea vibaka kama hao!!

Ufaransa: 61
Ujerumani: 37
Uswidi: 37
Ireland: 26
Uhispania: 23
Kanada: 14
Austria: 12
Ubelgiji: 11
Uingereza: 9
Uholanzi: 8
Urusi: 7
Poland: 3
Mgalatia umecharuka...upako na chumvi zimekukubali
 
Ukiona kundi la watu wanashangilia sana vita basi ujue hiyo sio dini bali ni utamaduni tu wa jamii fulani. Dini ya ukweli kamwe hawawezi kupenda mambo ya vita.
Jihad Ina taratibu zake ukileta vita utapewa vita ukileta amani vile vile Kama Salamu ya mitume ilivyo peace be upon you, hivyo Uislam na unyonge ni vitu viwili tofauti
 
Najua mkizidiwa mara zote Taqiyyah ndiyo silaha yenu. Mnasema uongo kama baba yenu shetani alivyo muongo!!
 
Ninazo nyingi Sanaa, pole na changamoto za kazi ngumu
Pesa huna na ndiyo maana unafuata-fuata watu hata usiowajua!, Tafuta pesa usife kibudu bure!!
 
Hivi kwann waafrika na waarabu huwa hatuchukui wenzetu wenye shida ya ukimbizi na kuwapa hifadhi zaidi ya wazungu.
Ukienda Airport dar kila siku waliokuwa wakimbizi Kambi ya Nyarugusu Kasulu wengi wakongo na warundi wanaondoka kwenda USA au Canada tena wanasombwa familia nzima wanaenda pewa maisha kule.
Jamaa yangu tulisoma nae CBE mcongo akaenda kambini sasa hivi yupo USA na familia yake.
Hivi sisi hatuna upendo au uwezo.
Hivi waarabu wanashindwa kuwachukua ndugu zao wawape hifadhi kwao.
Zaidi ya kulaani na kuunda makundi ya kigaidi kupambana na Wayahudi hawana msaada mwingine kwa wapalestina
 
Wapalestina si watu Misri hawawezi kabisa kuwakaribisha vibaka hao walimuua Rais wao Sadat, na huko kuwait hawawezi walifanya unyama wa kutisha Waki Shiri Kiana na Sadam Hussein kuivamia nchi hiyo Jordan pia hawawezi walitaka kumpindua Mfalme Hussein. Wapalestina si watu ni sawa na Mazimwi tu. Ulaya na Marekani wałowa pokera Sasa hivi wanajua kuwapokea vibaka hao!!
 
Pesa huna na ndiyo maana unafuata-fuata watu hata usiowajua!, Tafuta pesa usife kibudu bure!!
We wapalestina unawajua mjinga kweli, ndio maana ulifukuzwa jeshi kisa hizo tabia zako
 
Wapalestina si watu Misri hawawezi kabisa kuwakaribisha vibaka hao walimuua Rais wao Sadat, na huko kuwait hawawezi walifanya unyama wa kutisha Waki Shiri Kiana na Sadam Hussein kuivamia nchi hiyo Jordan pia hawawezi walitaka kumpindua Mfalme Hussein. Wapalestina si watu ni sawa na Mazimwi tu. Ulaya na Marekani wałowa pokera Sasa hivi wanajua kuwapokea vibaka hao!!
Eeeh huyu kweli kaiva propaganda ya myahudi hakuna mtu atamuweza huyu kichwa kimejaa kinyesi Cha uyahudi
 
Acha kubwabwaja waarabu wenzao wanawajua vizuri sana hao vibaka hawawezi kurudia kuwakaribisha.!!!
 
We wapalestina unawajua mjinga kweli, ndio maana ulifukuzwa jeshi kisa hizo tabia zako
Wewe unawasikia tu mimi nimewaona kwa macho yangu ushenzi wao nawashukuru sana IDF kwa kuwanyoosha Vibaka hao!!
 
Mayahud walishalaaniwa kitambo pamoja na wanaowaunga mkono hivyo hio ardhi hamtaitawala, kila siku itakua mbilinge Kuna front mpya zimeundwa Syria kwaajili ya mazayuni hivyo maisha ya mazayuni yatakua ya hofu hofu TU huku wakiombea marekani asije kudhoofika kuwatetea maisha Gani? Wapalestine pale hamtawaondoa na wakiondoka wataenda kukusanya nguvu
Mbona maarabu kama umekata tamaa si mlikuwa mnashangilia sana kipindi flani? Umetaka mwana unaoewa.lea hutaki. Mimba ulitaka ya nini? Acha viumane shubamiiit.
 
Kukata tamaa ni tabia za makafiri hio dhambi sisi tunaiepuka Fanya research uone wanajeshi wa Israel wanavyojinyonga kila iitwayo leo
 
Back
Top Bottom