Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Si watakuwa wameisha sasa?hii record tuliicheza kipindi flani ika buma. Makafir ya kiarabu yanachapwa tu. Tumechapika mbaya sasa tumekuwa motivational speakersKukata tamaa ni tabia za makafiri hio dhambi sisi tunaiepuka Fanya research uone wanajeshi wa Israel wanavyojinyonga kila iitwayo leo
Wale ni waarabu lakini ni waislam pia Hilo ndio tatizo linalompa taabu mazayuni, kuchapika hatujaanza leo maswahaba wengi wamechapika Sana enzi za mapanga, asifikiri mzayuni anacheza na dini lelemama Kama ukristo anavyowafanyia wanamnyenyekea atawasumbua wale waarabu wanafiki tuSi watakuwa wameisha sasa?hii record tuliicheza kipindi flani ika buma. Makafir ya kiarabu yanachapwa tu. Tumechapika mbaya sasa tumekuwa motivational speakers
Makafir wa kiarabu tunachapika sana Gaza imeisha sasa yamebaki magofu na palestinians zaidi ya 40,000 wameuawa hali ni tete. Assad alikimbia Syria. Kwenda hifadhiwa na makafir ya kizungu. Sasa Palestine Makafir ya Kiarabu/Kiislamu yanakimbilia kuishi kwa Makafir ya KizunguWale ni waarabu lakini ni waislam pia Hilo ndio tatizo linalompa taabu mazayuni, kuchapika hatujaanza leo maswahaba wengi wamechapika Sana enzi za mapanga, asifikiri mzayuni anacheza na dini lelemama Kama ukristo anavyowafanyia wanamnyenyekea atawasumbua wale waarabu wanafiki tu
Nakujibu ya mwisho hii hao Hamas Bado wapo na leo wamewategesha vilipuzi wajinga wenzio wakiingia Kwenye tunnel wote 8 wamekaangwa. Hao 50+ elfu ni 80% ni wanawake na watoto hivyo jaribuni kuua wapiganaji ambao wako 40+ elfu wameongezeka kwenye hii ngwe ya pili, vinginevyo mnazidi kuisogeza vita mbele Bure tuMakafir wa kiarabu tunachapika sana Gaza imeisha sasa yamebaki magofu na palestinians zaidi ya 40,000 wameuawa hali ni tete. Assad alikimbia Syria. Kwenda hifadhiwa na makafir ya kizungu. Sasa Palestine Makafir ya Kiarabu/Kiislamu yanakimbilia kuishi kwa Makafir ya Kizungu
Mayahudi wao hawacheki na Mbwa wanaua mpaka viroboto. Wameua Maarabu mengi sana na kubomoa makazi yao. Gaza imebaki magofi tu Makafiri wanahama au wanambia yamebaki Mayagudi yana taradadi. Maarabu yapo hoii. Hamas wanauliwa humo humo mashimoni wanapokimbiliaNakujibu ya mwisho hii hao Hamas Bado wapo na leo wamewategesha vilipuzi wajinga wenzio wakiingia Kwenye tunnel wote 8 wamekaangwa. Hao 50+ elfu ni 80% ni wanawake na watoto hivyo jaribuni kuua wapigansji ambao wako 40+ elfu wameongezeka kwenye hii ngwe ya pili
Hata picha za yesu ambazo umeaminishwa wkt ni Deon dacron ameweka ndevu na kavaa kobazi....mgalatia ndevu zinawekwa hazifungwi...anayefugwa ni kuku..Mfuga midevu na majini vipi Majini yako yamepanda? Njoo huku tukuombee yakutoke kwa jina la Yesu!!!
Watu wanaijitoa ufahamu tu bure lakini ukweli unabaki palepale kuwa vita hivi si vya kidini lakini upande mmoja unataka kujifanya viwe vya kidini kwa kuingia dini ndaniMjadara wa middle east hasa Israel Vs Palestine sijui kwanini lazima dini zihusishwe? Hivi ni kweli kwamba wale jamaa wanapigania DINI? Why watu wa huku Africa huaga ndio tunafikiria hivo? Ni kweli hatujui wanacho pigania au tunajitoa AKILI?