Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya maliri jamii ya FUSO!!!
Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya watanzania wengi!! Yan kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nn!?? Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa watumiaji wengine wa barabara!!!aina ya madereva wa Fuso ni watu waliojitoa mhanga kwa kweli!! Pia ni watumiaji wazuri sana wa bangi ,mirungi ,k vant ,gongo nk!!! Wamekuwa ni chanzo kikubwa cha ajali!
Pili Haya malori ni tani nne lakini hayo mabodi ya fuso ( ambayo yamejengwa hapa Tanzania) yanabeba mpaka tani 12!!! Au zaidi !! Hii ni hatari mno!! Hasa kwenye mifumo ya break!!! Fuso nyingi huanguaka au kugonga sababu ni ujazo mkubwa unao sababisha break kufeil !!