Basi dawa ni kuvaa miwani za kuendeshea gari usikuUtapata hasara wewe,mwenye gar ndogo
Maana madereva fuso akiona njia haioni,na wee unagari ndogo.
Anakupelekea TU upambane nalo USO KWA USO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi dawa ni kuvaa miwani za kuendeshea gari usikuUtapata hasara wewe,mwenye gar ndogo
Maana madereva fuso akiona njia haioni,na wee unagari ndogo.
Anakupelekea TU upambane nalo USO KWA USO.
HOWO ni kama maji! Usipoyanywa utayaoga.HOWO hamna gari pale,
Kiukweli pale Mchina alitupiga,
Kwa mazingira yetu ya ulimwengu wa 3, HOWO hazifai KABISA.
Nakemea pepo howo, faw, shackman ni gari dingi Tena nasisitiza ni gari papaa ila sio kosa lako koz huna experience. What drivers complain about those Chinese machines is lack of comfort inside the cabin mbali na hapo howo especially 371+reduction ni gari ambayo Kwa manjia ya Kongo ni mahala pake sahihi kuliko DAF, scania, Iveco, benz, Man , Renault na Volvo ukitaka kujua ulizaHOWO hamna gari pale,
Kiukweli pale Mchina alitupiga,
Kwa mazingira yetu ya ulimwengu wa 3, HOWO hazifai KABISA.
Na kama huamini tembea garage zote uangalie howo zilizopakiHOWO hamna gari pale,
Kiukweli pale Mchina alitupiga,
Kwa mazingira yetu ya ulimwengu wa 3, HOWO hazifai KABISA.