Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

Anaongelea spec za manufacturer na ni kweli Fuso kwenye spec za Manufacturer ni tani nne ila hapa bongo ndio mzigo tunapiga tani kumi
Unajua gari ikiwa ina tone 7 inaweza kubeba 20/22 Tones...Hii ni Kwa Mujibu wa manufacturers !!!..Tena Nchi nyingine Zinakula mzigo mkubwa zaidi!!
 
Too general!
Ukilinganisha Super great yenye same specifications na p series.. scania remains the best kwa kila kitu!

Nazijua super great kadhaa zenye injini ya scania lakini sijawahi kusikia scania ina injini ya fuso!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Ni kweli lakin Amin kwamba hakuna scania ya kufuata super great sema mechanics wabongo wazushi gari Ina umeme mwingi sana hio ila ni gari chief wakishindwa kuzitengeneza suggestions ni kuweka engine za scania 90,93,95 na 113 ni hizo tu lakin mbona hawaweki engine zenye umeme kama za 124 unajua ni Kwa nn koz hata hizo engine Bado zinawashinda
 
Kuhusu ufundi wa Engine/body na modification Kwa Watanzania ni Hatari sema hujapata watu sahihi
 
Yenye freezer haiezi beba hata tani kumi. Kumbuka tandam kibongo inabeba tani 17 ,18. unategemea mfanya biashara akodishe ipi hapo? Na ukizingatia yenye freezer nauli iko juu zaidi japo mzigo inabeba mdogo?
Unakataa hakuna zenye freezer au kwasababu gharama watu mnashindwa!!..Azam,Asas,Jambo,Mo,Tanga fresh, Kilimanjaro fresh hawa wanazo Fuso, Isuzu,Hino na nyingine za kichina zenye freezer (3.5,4,7,10 Tones na kwendelea)
 
Kama ndio uzoefu huo alaf hujui kwamba fuso ni tani4 tu basi wewe mzoefu kihiyo
Sawa mkuu

Ila kama hutaki ndo hivyo tunayafungia mabomba na bodi za Tanga na taa kama mti krismass mtatukoma Barbara night

BTW semi tani ngapi? Iliyoandikwa ubavuni

Na kenta je?
 
Anaongelea spec za manufacturer na ni kweli Fuso kwenye spec za Manufacturer ni tani nne ila hapa bongo ndio mzigo tunapiga tani kumi
Hadi tani 12 inabeba 😂😂 Wabongo nyoso

Kwanza swala la kuweka mabomba tu hata nchi zingine kama Zambia wanashangaaga. Wanaziacha "kipepe"

Ambayo pia nimeiona mtindo huo Kahama na Katavi

Kwanza ujue hata Tandamu haipo kwenye manufacturer list? Ni mbinu za Tabata tu.....na hapo Tanroads wana sheria ngumu balaa sasa sipati picha wangekua slack kama kwingine
 
Hawa jamaa ni wateja wetu sana. Hasa hawa walioanguka juzi hapo down za msata. Kiulweli kabisa si kingine zaidi ya mwendokasi na pombe. Wanakunywa mnoo. Wanatembea mnooo. Hasa wakisikia vile vifilimbi vile mwendo ukikolea.

Hao vijana wa chugga ndo wanakuambiaga mwili hauna roho basi mwendo kibati. Ajali zimezidi. Ni kweli kabisa kwa tunaotembea usiku we can tell. Na usiombe tandam imebeba ndizi[emoji119][emoji119] aisee wanaamsha. Najiulizaga hawa vijana wanafanyaga maendeleo gani kwao zaidi ya starehe na wanawake. Pombe wanakunywa mpaka wanafilisika. Anakuambia gari ya boss. Yeye mtaji wake 70k tu ya leseni. Hawajali kabisaa. Ukikuta saa wamefilisika sasa siyo matandiboy wala madereva wana hali mbaya wanashare vyumba. Wanalala kwa zamu.

Maboss wa magari pia ni tatizo. Kama hutembei unanyang'anywa gari. Wanataka uamshe chaap urudi trip. Ukiwa mang'aa kazi huna. Hawa pia wanachangia.

Anyways, pumzikeni kwa amani vijana wetu. Very sad mmona kazika babake juzi tu. Alikua anaendesha noah za moshi mjini tarakea. Leo naye kaenda
 
Wazee wa zzziiiiii chaaaaa zzziiiiiii chaaaa zzziiiiii chaaaaaa, na kuchafua cabin kwa stickers, wamiliki wa fuso wananatakiwa wazuiwe hii tabia ya kuongeza ukubwa wa body huko nyuma na zbak vpis kma znavyotoka kiwandani.
Hahaha wanapenda hizo filimbi balaa...
 
[emoji23][emoji23] stop engine hizo asipo piga hizo atapita na vibanda vya watu
Yaan hili tatizo vijana wa kaskazini sijui watasaidiwaje. Huwa wakikaa bar wanasifianaga kbs bwana jama unatembea sana wewe hufai. Basi wanaona sifaaaa... yaani hizo filimbiii daah. Hata bure sithubutu kupanda lift. Halaf ukikuta dereva ameshaiva kvant ama nyagi anaona kama hatembei hv. Na ingine aweke kwenye kichupa cha maji sikilizia filimbi zake. Na usimombe gari haina mzigo.
 
Fuso inatembea utadhani Upepo!!!
 
Nadhani shida sio kupakia Bali baadhi ya Madereva ni shida kuna Moja nilikimbizana nayo Kutoka Tanga kuja Dar Gari inakimbia utadhani haina mzigo ni balaa ukute Turbo yake bado ipo unaweza kusema haijapakia!!..Zile Kona za Wami jamaa ana lala nayo tu nilivyofika Kibaha nikamwambia utakufa wewe!!.. imagine Niko na crown lakini Fuso ilinitoa Jasho
 
Back
Top Bottom