Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

Ajali zipo lakini umeona semi zimeongezewa Trailer Ndogo au ukisafiri unaangalia Fuso Tu!!!..Ajali siyo Gari ni Madereva wenu!!..
 
Wewe acha kupanda Malorry panda Basi kwenye safari zako!!
 
Wazee wa zzziiiiii chaaaaa zzziiiiiii chaaaa zzziiiiii chaaaaaa, na kuchafua cabin kwa stickers, wamiliki wa fuso wananatakiwa wazuiwe hii tabia ya kuongeza ukubwa wa body huko nyuma na zbak vpis kma znavyotoka kiwandani.
Waambie Tanroads kwenye Mizani hawapimi vizuri kwasababu hizi Gari lazima zipite Mizani!!..wewe unaona zimezidisha lakini serikali inaona Bado!!
 
Serikali inasemaje!!!.. Mizani vipi?!!..kuna vitu Mnajifanya mnajua sana!!..Pandeni mabasi mkiwa mnasafiri muache kudandia Malorry
 
Hizi Fuso ni kwaajili ya light cargo!!.. Ikifika Bongo nyingi wanaziongezea chases..alafu wengine wanaweka na diff nyingine!!.. ukiangalia uzito wa gari na engine capacity yake ni vitu 2 tofauti!!..Ndio maana unaona huko kwenye Mizani zinapita bila mashaka kabisa!!..Gari yenye uzito wa 3/4/5 Tones ,hii inaweuzo wa kubabe 10/12/15 Tones!!..Hawa wa Tandam ndio kiboko hawa Hadi 20/22/24 Tones wanabeba!!.. Tatizo hapa siyo Magari kwasababu Serikali inaruhusu na sio kwamba yamezidisha uzito!!!...Madereva wetu ndio shida tuache kupotosha kuhusu Hizi Fuso/Isuzu/Hino na Nissan ni Gari nzuri na zinafanya Kazi kubwa kwenye uchumi wetu!!..
 
Kwa sheria za TANROADS uzidishe gari unadhani utatoboa kweli ndugu yangu? Hata misugusugu hufiki😂😂


Tena katika nchi zina she ria za hovyo SADC yote Tz inaongoza. Trela zenyewe za semi tunatembea nchi zaidi ya 4 vizuri ila TANROADS wanakwambia ABNORMAL LOAD sembuse wawaache was Fuso
 
Stability inapungua kwa kuongeza urefu wa body kwenda juu
Brake pad zinazotengenezwa kuhimili mzigo tani 6 unakumbana na tan 10 ndio maana brake pad za fuso Huwa zinakwisha mapema mno pili mfumo wa biashara bongo Bado koz hata wamiliki hawaoni huruma Kwa gari zao engine D17 mfano imetengenezwa maybe kuvuta tani 8 ww unaongeza axle kuwa tandamu engine Ile Ile GIA box Ile Ile inavuta tan 15 au 17 yaan Iman yangu inaniambia fuso ni gari Bora sana ukifuata matumizi yalivoelekezwa. Fuso zinaonewa sana
 
Alfajiri ya leo, maelezo ya mashuhuda saa 9 usiku eneo la Kanisa la sabato Dodoma, Barabara hii hutumika na magari yote ya transit, mpaka muda huu wahusika hawajatoa magari haya kitu ambacho kinaweza sababisha ajali nyingine
 
Asante sana umeniekewa !!! Wengi wamekurupuka hawaelewi !!! Ila nakuapia hizi gari ni chanzo kikubwa cha ajali
 
Kwa hiyo trafiki hawazioni fuso zinazofungasha mabehewa kuliko uwezo wa mifumo yake, kama ni rahisi hivyo kufanya modification gari iweze kuvuta uzito mkubwa, leo hii baby walker ingeweza kufungiwa trela la tani 7......
 
Kuna wakati zinaingia miaka ile ya 2000+ bima nyingi walisita kuzikatia comprehensive insurance wakiona body umeifanyia modification maana zilikuwa zinapiga chini mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…