Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

Umemaliza kila kituuuuu,
Nimekupenda bure, mwaaaaah!
 
Tatizo lako umejifungia huko mburahati kwa mfuga mbwa huwezi elewa dunia inaendaje, watu wanatoka mataifa ya mbali kutafuta wenza wa maisha TZ, hayo ya utalii wa ngono unawaza wewe mwenye akili fupi
 
Huyo mzungu kasema tu ukweli, huwa ni mchungu ila ndio ukweli.
 
mwanangu,ata sijamwingizia sausage yangu nimpe ela!!!...mimi sio rugemalila bhana!!
 
Tatizo lako umejifungia huko mburahati kwa mfuga mbwa huwezi elewa dunia inaendaje, watu wanatoka mataifa ya mbali kutafuta wenza wa maisha TZ, hayo ya utalii wa ngono unawaza wewe mwenye akili fupi
Akili fupi? Matako ya bibi yako... karibu watu wote waliocomment hapa wamepingana na huu uzi wako, hii inaonesha kabisa umeandikwa na mtu mjinga, mpuuzi na asiyekuwa na akili hata kidogo anayechukia ukweli.

Kinachokusumbua hasa wewe binti ni usasa wa kipumbavvu na kujiona unaijua dunia wakati ni kapumbavu tu fulani ambaye unaendeshwa na fantasies.

Kwahiyo kwa vile huyo mzungu amewaharibia soko lenu la kupata madanga ya kizungu wewe na wadangaji wenzako wa hapa bongo, basi ndio unaamini eti hata sector yetu ya utalii itaathirika? Kwamba kinachowaleta hao watalii wa kizungu hapa nchini kwetu primarily ni kutafuta wenza wa maisha ambao ni nyie wadada wa kitanzania kisha ndio linakuja suala la kutalii sio? Jinga kabisa wewe na reasoning yako mbovu rudi shule kwanza...!!

Labda nikujuze tu wewe na wajinga wenzio wenye akili kama zako, sababu pekee zinazoweza kuathiri shughuli za utalii kwenye taifa lolote ni hali ya usalama wa taifa husika na sera za kiuchumi hapa hasa tunaongelea inflation... na sio sababu uliyoiweka kichwani mwako ya nyie wadangaji kuharibiwa soko
 
Wanaume pia mmenangwa na kusimangwa na kutukanwa umesikia? Shusha na essay nyingine kuhusu wanaume omba omba mliokandiwa hapo 😄
Hakuna haja ya kushusha essay kuhusu wanaume maana hakuna uongo kwenye hayo aliongea, hivyo basi ni suala la mwanaume yoyote mwenye sifa hizo kuacha mara moja.
 
Sijamsikiliza lkn kutokana na ulichoandika huenda yuko sahihi. Nasema haya kwa sababu wapo wanawake wanaojiuza,ombaomba na umasikini umetamalaki Africa ikiwemo Tanganyika.
 
Vyema sana mkuu.
 
Unaona sasa!? ni mpumbavu pekee anayeweza kupaniki namna hii ndio maana mnatukanwa na kuburuzwa na hao wazungu choka mbaya mnajichekesha chekesha kama matahira,
Pyeeeeeeeeee kubwa jingaaaaaaaa hiloooooooo 🤣🤣🤣🤣

Nasubiri essay nyingine 🍿🥤
 

Ukitaka tuepukane na haya yote basi tuacheni kuomba omba, tuacheni chuki na kushikashika wanawake, nenda nchi za kiislamu kama utakutana na huu ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…