Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

Juzi tu nmetoka kutongoza mrembo insta.

Hata hatujaonana keshokutwa yake ananiomba laki moja eti akahemee ndani ameishiwa kila kitu.

Hivi nyinyi wanawake mbona majinga sana?
Sasa ulitaka asikuombe? Au akamuombe nani?
 
Yes Wana act Sana dada zetu ndio sababu utawaona Sana kwenye malls, supermarkets, beaches wakijifanya kuhang kumbe wadangaji Tu njaa Kali, wanaaibisha Sana waelewe hakuna pesa ya haraka pesa ni process na dunia ya Leo ukitumia uchi kamakitega uchumi umekwisha
Yes wafanye kazi na waache kutumia uchi kama kitega uchumi
 
View: https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ

Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha chekesha kama fisi limeona fupa, mtu anaonesha ubaguzi wazi wazi kwa kuwaita Maskini, mna magonjwa ya zinaa, mnaomba omba, mnafake furaha na maisha bora n.k jitu linafurahi kisa hayo maneno kasema mzungu dah! naimagine huyo mzungu angekua amewasema hivyo Wasouth au Wanigeria sijui kama angekua anapumua sasa hivi,

Serikali inatumia billions of money kuita watalii Tanzania halafu watu kama huyu mzungu wanaongea uzushi na uongo ili kukimbiza watalii Tanzania, mtu kama huyu kwanini asifunzwe ili iwe fundisho kwa wageni wengine wakiwa nchini wafanye kilichowapeleka na sio kuongea uzushi na uongo kwenye mitandao?

(Hii tunaongea wenyewe kama familia) dada zetu wa Dar muwe na stara sisi tushawazoea kutuomba omba hela sasa akitokea mgeni mjikaze basi, wazungu hawajazoea kuombana ombana hela, tulia akupe mwenyewe, sio umekutana na mtu leo kesho unampa mkeka wa matatizo yako, kodi, bills, hospital, mama, wadogo zangu, acheni hizo mjishughulishe kama wenzenu wa mikoa mingine, mnawaponza wengine kwa makosa yenu, kadhalika kaka zetu ukitoka na mzungu usijibweteke bills zote alipe yeye jitutumie angalau hata mgawane nusu kwa nusu, unaweza ukasema nalipia vinywaji, lipia chakula au nalipia usafiri lipia chakula na vinywaji sio unajichekesha kesha tu ikija bill unavizia mwanaume mwenzio alipe haipendezi mbadilike!

Haya twendeni tukamshambulie huyo mzungu kwenye comments atukome waTZ.

Bora huyo mzungu kuliko lesbian
 
Wewe umenikumbusha siasa za Kikwete kwenye documentary ya mapanki!

Tz nzima ilikurupuka kulaani na kukanusha kutokutumia screpa za sangara kama kitoweo!

Nenda Mwanza na kanda yote ya ziwa kuupata ukweli wa tuhuma hizo!

Tunapenda sana kukanusha mambo tunayoyafanya na kuyapenda.

Kama hatutaki aibu, basi tujiepushe kufanya vitendo vya fedheha na ufedhuli.

Kwani dada zetu malaya hawaishi na U.T.I sugu, siyo omba omba kwa kila danga anayejiseti?

Tulaani nini sasa?
 
Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?
Amesema haya yapo karibia kwa nchi zote zinazo endelea.
Amesema wapo baadhi wenye tabia tofauti ambao unaweza kuwapata kupitia marafiki siyo bar na nightclub.
Mzungu ameongea ukweli mwanzo mwisho.
Wengi hasa wasichana wadogo wapo desperate sana. Washauri I wadogo zenu wapunguze wenge na showoff.
 
Mkisoma maelezo yangu vizuri mtaelewa maana yangu, kwanza ni kitendo cha kuwajumuisha wanawake wote wa KITANZANIA wakati yeye amekutana na WADANGAJI wa DAR na ZNZ,
Hayo yote aliyoyaongelea ni aina ya wanawake alokutana nao barabarani na kwenye bars na clubs alipaswa aainishe hayo kwenye maelezo yake badala ya kujumuisha wote,

Pili hayo maneno akiyasema mtanzania kwenda kwa mtanzania mwenzake sio habari ila kuyasema mzungu kwenda kwa Watanzania ndio habari ilipo

Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?

Nne hamuoni kama anawaogopesha wageni wenye matarajio ya kupata wenza wa maisha Tanzania kwa huo mjumuisho wake wa hao wanawake wadangaji na wanaume machawa anaokutana nao?
Kasemea Tanzania ambapo anaexperience unataka asemee sehemu ambayo hata haijafika? Hada kwenye dating site Ukitaka kumtapeli demu wa kibongo ujifanye mzungu
 
View: https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ

Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha chekesha kama fisi limeona fupa, mtu anaonesha ubaguzi wazi wazi kwa kuwaita Maskini, mna magonjwa ya zinaa, mnaomba omba, mnafake furaha na maisha bora n.k jitu linafurahi kisa hayo maneno kasema mzungu dah! naimagine huyo mzungu angekua amewasema hivyo Wasouth au Wanigeria sijui kama angekua anapumua sasa hivi,

Serikali inatumia billions of money kuita watalii Tanzania halafu watu kama huyu mzungu wanaongea uzushi na uongo ili kukimbiza watalii Tanzania, mtu kama huyu kwanini asifunzwe ili iwe fundisho kwa wageni wengine wakiwa nchini wafanye kilichowapeleka na sio kuongea uzushi na uongo kwenye mitandao?

(Hii tunaongea wenyewe kama familia) dada zetu wa Dar muwe na stara sisi tushawazoea kutuomba omba hela sasa akitokea mgeni mjikaze basi, wazungu hawajazoea kuombana ombana hela, tulia akupe mwenyewe, sio umekutana na mtu leo kesho unampa mkeka wa matatizo yako, kodi, bills, hospital, mama, wadogo zangu, acheni hizo mjishughulishe kama wenzenu wa mikoa mingine, mnawaponza wengine kwa makosa yenu, kadhalika kaka zetu ukitoka na mzungu usijibweteke bills zote alipe yeye jitutumie angalau hata mgawane nusu kwa nusu, unaweza ukasema nalipia vinywaji, lipia chakula au nalipia usafiri lipia chakula na vinywaji sio unajichekesha kesha tu ikija bill unavizia mwanaume mwenzio alipe haipendezi mbadilike!

Haya twendeni tukamshambulie huyo mzungu kwenye comments atukome waTZ.

Kawaharibia soko au kafanyaje? Mbona mengi anaongea ni ukweli? Tangu lini tumeanza kuogopa ukweli?
 
Duh! I wish siku moja nikuone nikuhug tu, unaonesha unapitia maisha magumu sana maskini, unachuki kali sana juu ya vijana walokuzidi maisha,
Ila nakuombea na wewe siku moja utakuja kula keki ya taifa 😄😄😄
Ona sasa, mm na wewe nani masikini. Bitch I can feed your whole family na chenji ibaki upumzike kudanga na kupigwa Double Penetration na hao waarabu

Sasa ulitaka asikuombe? Au akamuombe nani?
Au ndo wewe nini?
 
Mbona wachaga ni wadangaji wa kimataifa mkuu, wapo wanaowekewa nyeti ili tu wapigwe pipe wajipatie pesa, cheki Kama Kuna mwanamke wa kichaga anaolewa na kysaka asiye na hela ama asiyejiweza. Mwanamke wa kichaga akiwa kwa mmewe mwenye Mali anajitahidi kuwanyanyua wadogo zake, watasomea kwa shemeji na watapewa mitaji,akikataa anauliwa
Duuh
 
Jamaa kaongea ukweli mtupu , ukidate mwanamke wa kibongo lazima utegemee bills kama zote: Ni kama wewe ndio umeenda kumtatulia matatizo yake. Halafu ukiwaona kwenye Instagram sasa utasema bonge la mwanamke kumbe full editing ukijaonana mbovu tu. Ukweli mtupu huo 😀😀😀
 
Mbona kawachana ukweli Yani unakuta dada unafake maisha ili uolewe na mzungu Kuna mpangaji jirani yangu alijishobokesha sana Kwa mzungu mpaka akifirwa na kurekodiwa kumbe mzungu mwenyewe Koko Hana maisha
😳😳
 
Ona sasa, mm na wewe nani masikini. Bitch I can feed your whole family na chenji ibaki upumzike kudanga na kupigwa Double Penetration na hao waarabu

Au ndo wewe nini?
Wewe bhana ni kapuku apeche alolo, unajifaragua kwenye keyboard ila sisi wajanja wa town tunaelewa, eti you can feed my whole family 😂😂😂😂 maskini kwa kujifariji hamjambo,
Sikia bro, piga kazi hata sisi tumefika hapa tulipo kwa kupiga kazi hata siku tukiondoka duniani familia zetu tutaziacha fresh, achana na chuki na majungu kwa watu usiowafahamu unajifukuzia baraka.
 
Kasema;

1. Wanawake wa bongo wanajali sana hela - Kweli

2. Wanawake wa bongo wanavaa sana mawigi - Kweli

3. Wanawake wa bongo hawajali muda mnapokubaliana kukutana - Kweli

4. Wanawake wa bongo wanataka uhudumie ndugu zao ukiwa nao kwenye mahusiano - Kweli

5. Ni ngumu kufanya maongezi ya maana na mwanamke ambaye hajasoma/hajasafiri nje ya Tanzania - Kweli

Tena haya mambo atakuwa anayapitia zaidi kuliko wenyeji kwasababu ni mzungu. Hajadanganya.
Kwa hiyo kumbe haya ndio yamemchukiza huyu mleta mada hadi amekuja huku kushtaki eti tuungane nae twende tukamtukane huyo mzungu huko yutube?

Yaani mimi nikajua pengine labda huyo mzungu ameongea mambo ya kizushi yasiokuwa na ukweli wowote ambayo yanahatarisha ujio wa wawatalii kama mleta mada anavyohisi... kumbe mleta mada amechukizwa na mzungu kuexpose kasumba mbovu za madada wa kitanzania ambazo ni za kweli na ni kero kwa mtu yeyote mwenye akili timamu?

Anyway huyu mleta mada ni miongoni mwa watanzania wengi wenye akili ndogo ambao ukiwaambia ukweli wanasema umewadhalilisha na badala yake mtu anayelea na kufunika ujinga wao ndio wanamuona mustaarabu.

Eti "tuungane tukamtukane huyu mzungu" serious? Aungane yeye na wote walioguswa na hayo maneno ambao obvious ni wadangaji tu ndio wakamtukane huyo mzungu wa watu msema kweli.
 
Back
Top Bottom