Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Nimechefukwa kiasi nikisikiliza hiyo naweza maliza creti la safari lager 🤣🤣 yaani kafikia hadi kutaja wachaga mkuu 😒mimi namuunga mkono kwenye kila kitu kasoro hapo kwa wachaga😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimechefukwa kiasi nikisikiliza hiyo naweza maliza creti la safari lager 🤣🤣 yaani kafikia hadi kutaja wachaga mkuu 😒mimi namuunga mkono kwenye kila kitu kasoro hapo kwa wachaga😅
Usiwe biased wachagga wa kiume ndiyo wanawafanya dada zao wawe wadangaji. Yupo sahihi kabisa, wanaume wa kichagga wanapenda vya bure —-komba kyaru——-mimi namuunga mkono kwenye kila kitu kasoro hapo kwa wachaga😅
Matusi ya ndugu kwa ndugu ni kawaida ila muhamiaji kutoka atokako na kuwatukana hao ndugu sio kawaida, na lazima ndugu mtaungana kumfurusha huyo fedhuliAcha ubaguzi, mbona mitaani kwetu kuna matusi mazito zaidi ya hayo, wanawake kwa wanawake wanatukanana, wanawake wanawatukana matusi mazito watoto na waume zao, kila siku ni matusi kuanzia asubuhi mpaka kitandani.
Ushauri wako tumuignore tusimpe kiki, lolWe unaingia kwenye mfumo wake, mwenzako anatafuta subscribers na engagement kwenye Youtube yake. Hii inaitwa ‘RAGE BAIT’, nenda kasearch maana ya hilo neno..
View attachment 3248484
Na wanaume mmetajwa au hujasikia hicho kipengele? hasa wachaga 😂😂Kaongea ukweli... hawa dada zetu wanajiless sana kwa wazungu
View: https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ
Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha chekesha kama fisi limeona fupa, mtu anaonesha ubaguzi wazi wazi kwa kuwaita Maskini, mna magonjwa ya zinaa, mnaomba omba, mnafake furaha na maisha bora n.k jitu linafurahi kisa hayo maneno kasema mzungu dah! naimagine huyo mzungu angekua amewasema hivyo Wasouth au Wanigeria sijui kama angekua anapumua sasa hivi,
Serikali inatumia billions of money kuita watalii Tanzania halafu watu kama huyu mzungu wanaongea uzushi na uongo ili kukimbiza watalii Tanzania, mtu kama huyu kwanini asifunzwe ili iwe fundisho kwa wageni wengine wakiwa nchini wafanye kilichowapeleka na sio kuongea uzushi na uongo kwenye mitandao?
(Hii tunaongea wenyewe kama familia) dada zetu wa Dar muwe na stara sisi tushawazoea kutuomba omba hela sasa akitokea mgeni mjikaze basi, wazungu hawajazoea kuombana ombana hela, tulia akupe mwenyewe, sio umekutana na mtu leo kesho unampa mkeka wa matatizo yako, kodi, bills, hospital, mama, wadogo zangu, acheni hizo mjishughulishe kama wenzenu wa mikoa mingine, mnawaponza wengine kwa makosa yenu, kadhalika kaka zetu ukitoka na mzungu usijibweteke bills zote alipe yeye jitutumie angalau hata mgawane nusu kwa nusu, unaweza ukasema nalipia vinywaji, lipia chakula au nalipia usafiri lipia chakula na vinywaji sio unajichekesha kesha tu ikija bill unavizia mwanaume mwenzio alipe haipendezi mbadilike!
Haya twendeni tukamshambulie huyo mzungu kwenye comments atukome waTZ.
Aweeee! sijakufikia wewe mzanzibar wangu, tena uniandalie marashi ya Al Oud June niyakute🙏Boss wangu mie unavyonukia vizuri nahisi hataoga mwaka mzima🙊
Hatujakataa ndio maana kwenye maelezo yangu nilitoa ushauri kwa both Ke na Me, tatizo linakuja huyo mzungu kwanini ajumuishe wanawake na wanaume wote wakati ni wazi kabisa circle yake ni ya machawa na hua anapata wadangajiTatizo watu wengi hatupendi kuambiwa ukweli, alichoongea huyo mzungu kina asilimia kubwa ya ukweli Culture Me
Pouwa Sinwar, niaje?Dada Culture Me mambo🤔
Kisingeli ndo poaTu
Tutumie kingereza au Kisingeli?
Hata kama wanawake wote hawapo hivyo. Ukimsikiliza kwa makini na ukafuata anachokisema hata wanawake wasio danga watakuheshimu.Mkisoma maelezo yangu vizuri mtaelewa maana yangu, kwanza ni kitendo cha kuwajumuisha wanawake wote wa KITANZANIA wakati yeye amekutana na WADANGAJI wa DAR na ZNZ,
Hayo yote aliyoyaongelea ni aina ya wanawake alokutana nao barabarani na kwenye bars na clubs alipaswa aainishe hayo kwenye maelezo yake badala ya kujumuisha wote,
Pili hayo maneno akiyasema mtanzania kwenda kwa mtanzania mwenzake sio habari ila kuyasema mzungu kwenda kwa Watanzania ndio habari ilipo
Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?
Nne hamuoni kama anawaogopesha wageni wenye matarajio ya kupata wenza wa maisha Tanzania kwa huo mjumuisho wake wa hao wanawake wadangaji na wanaume machawa anaokutana nao?
Aliyoyasema hata sie yanatupata.Hatujakataa ndio maana kwenye maelezo yangu nilitoa ushauri kwa both Ke na Me, tatizo linakuja huyo mzungu kwanini ajumuishe wanawake na wanaume wote wakati ni wazi kabisa circle yake ni ya machawa na hua anapata wadangaji
Watajeeeeeeeeeeeeeeeeee, lol😂😂😂Aliyoyasema hata sie yanatupata.
Wengi member wa JF wanajisifia kuwa Mwanaume akiomba namba, mpe na kama humpendi mwombe pesa!
Hujaona humu wanavyofunzana akinadada wa JF Niwataje?
Hivi ndivyo inavyotakiwa kua ila ubaya hua wanatengeneza trust mapema ili usishtuke km unapigwaukigundua mwanamke kakaa kutapeli wewe mtapeli zaidi ili apate adabu , ikiwezekana mpe ahadi ambayo haitotimia fullstop
Imeisha hiyo bossAweeee! sijakufikia wewe mzanzibar wangu, tena uniandalie marashi ya Al Oud June niyakute🙏
Mbona wachaga ni wadangaji wa kimataifa mkuu, wapo wanaowekewa nyeti ili tu wapigwe pipe wajipatie pesa, cheki Kama Kuna mwanamke wa kichaga anaolewa na kysaka asiye na hela ama asiyejiweza. Mwanamke wa kichaga akiwa kwa mmewe mwenye Mali anajitahidi kuwanyanyua wadogo zake, watasomea kwa shemeji na watapewa mitaji,akikataa anauliwaNimechefukwa kiasi nikisikiliza hiyo naweza maliza creti la safari lager 🤣🤣 yaani kafikia hadi kutaja wachaga mkuu 😒
Hakuna mchaga anayekuwa rafiki wa kweli na WA that otherwise kuwe na materials gainsUsiwe biased wachagga wa kiume ndiyo wanawafanya dada zao wawe wadangaji. Yupo sahihi kabisa, wanaume wa kichagga wanapenda vya bure —-komba kyaru——-
Duuuh! Mbna hatariii. LolMbona kawachana ukweli Yani unakuta dada unafake maisha ili uolewe na mzungu Kuna mpangaji jirani yangu alijishobokesha sana Kwa mzungu mpaka akifirwa na kurekodiwa kumbe mzungu mwenyewe Koko Hana maisha