DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwahiyo kuongea ukweli ni kosa siku hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! I wish siku moja nikuone nikuhug tu, unaonesha unapitia maisha magumu sana maskini, unachuki kali sana juu ya vijana walokuzidi maisha,Huyu mleta mada ni mdangaji wa kimataifa, na akishadanga huko anakuja bongo kuwasaga wenzake, hivyo anaogopa kuharibiwa soko.
Aisee hujasoma maelezo yangu? kichwa cha habari je?1. Hajasema Tanzania tu, kasema nchi zinazoendelea kiujumla.
2. Anaogopesha wageni wapi, ukweli usemwe tu.
3. Mbona hutetei wanaume unavuta kwako tu, kasema wanaume wanachepuka sana, hawana hela, pia kachafua kabila la wachaga, kasema kuna mwanaume mchaga alikuwa akimuomba amlipie vitu bar😂
wanaume wote wako hivyo?
mimi namuunga mkono kwenye kila kitu kasoro hapo kwa wachaga😅Aisee hujasoma maelezo yangu? kichwa cha habari je?
Kwanini unauliza mbona sitetei wanaume wakati kila kitu nimekiweka wazi, lol
Angeongeza na kwamba wanawake wengi wana viriba tumbo, wanaendekeza unene ingekuwa poa.Huo ni ukweli mchungu,jirekebisheni siyo kulalamika mkiambiwa ukweli
Unatongoza hovyo hovyo.Juzi tu nmetoka kutongoza mrembo insta.
Hata hatujaonana keshokutwa yake ananiomba laki moja eti akahemee ndani ameishiwa kila kitu.
Hivi nyinyi wanawake mbona majinga sana?
ngoja niweke vizuri diaBushbaby hapa ulitaka kusemaje?
Amesema most of them are usually ...hivyo haja generalize kuwa ni wanawake woteMkisoma maelezo yangu vizuri mtaelewa maana yangu, kwanza ni kitendo cha kuwajumuisha wanawake wote wa KITANZANIA wakati yeye amekutana na WADANGAJI wa DAR na ZNZ,
Hayo yote aliyoyaongelea ni aina ya wanawake alokutana nao barabarani na kwenye bars na clubs alipaswa aainishe hayo kwenye maelezo yake badala ya kujumuisha wote,
Pili hayo maneno akiyasema mtanzania kwenda kwa mtanzania mwenzake sio habari ila kuyasema mzungu kwenda kwa Watanzania ndio habari ilipo
Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?
Nne hamuoni kama anawaogopesha wageni wenye matarajio ya kupata wenza wa maisha Tanzania kwa huo mjumuisho wake wa hao wanawake wadangaji na wanaume machawa anaokutana nao?
View: https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ
Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha chekesha kama fisi limeona fupa, mtu anaonesha ubaguzi wazi wazi kwa kuwaita Maskini, mna magonjwa ya zinaa, mnaomba omba, mnafake furaha na maisha bora n.k jitu linafurahi kisa hayo maneno kasema mzungu dah! naimagine huyo mzungu angekua amewasema hivyo Wasouth au Wanigeria sijui kama angekua anapumua sasa hivi,
Serikali inatumia billions of money kuita watalii Tanzania halafu watu kama huyu mzungu wanaongea uzushi na uongo ili kukimbiza watalii Tanzania, mtu kama huyu kwanini asifunzwe ili iwe fundisho kwa wageni wengine wakiwa nchini wafanye kilichowapeleka na sio kuongea uzushi na uongo kwenye mitandao?
(Hii tunaongea wenyewe kama familia) dada zetu wa Dar muwe na stara sisi tushawazoea kutuomba omba hela sasa akitokea mgeni mjikaze basi, wazungu hawajazoea kuombana ombana hela, tulia akupe mwenyewe, sio umekutana na mtu leo kesho unampa mkeka wa matatizo yako, kodi, bills, hospital, mama, wadogo zangu, acheni hizo mjishughulishe kama wenzenu wa mikoa mingine, mnawaponza wengine kwa makosa yenu, kadhalika kaka zetu ukitoka na mzungu usijibweteke bills zote alipe yeye jitutumie angalau hata mgawane nusu kwa nusu, unaweza ukasema nalipia vinywaji, lipia chakula au nalipia usafiri lipia chakula na vinywaji sio unajichekesha kesha tu ikija bill unavizia mwanaume mwenzio alipe haipendezi mbadilike!
Haya twendeni tukamshambulie huyo mzungu kwenye comments atukome waTZ.
Wacha watumie uchi bwana kwani sii mbususu zao na sie tunafaidika hapo hapoYes Wana act Sana dada zetu ndio sababu utawaona Sana kwenye malls, supermarkets, beaches wakijifanya kuhang kumbe wadangaji Tu njaa Kali, wanaaibisha Sana waelewe hakuna pesa ya haraka pesa ni process na dunia ya Leo ukitumia uchi kamakitega uchumi umekwisha
Duh....alijishobokesha sana Kwa mzungu mpaka akifirwa na kurekodiwa kumbe mzungu mwenyewe Koko Hana maisha
Kasema;
1. Wanawake wa bongo wanajali sana hela - Kweli
2. Wanawake wa bongo wanavaa sana mawigi - Kweli
3. Wanawake wa bongo hawajali muda mnapokubaliana kukutana - Kweli
4. Wanawake wa bongo wanataka uhudumie ndugu zao ukiwa nao kwenye mahusiano - Kweli
5. Ni ngumu kufanya maongezi ya maana na mwanamke ambaye hajasoma/hajasafiri nje ya Tanzania - Kweli
Tena haya mambo atakuwa anayapitia zaidi kuliko wenyeji kwasababu ni mzungu. Hajadanganya.