Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifanya nicheke..kwamba inapendeza hata kuona polis wanapotea??Huyo habari zilisjafungwa alipotea na hakupatikana mwisho wa stori. Inapendeza kuona hata askari wanapotea.
Sasa kama ni polis mwenzake alimpigia kumwambia nini?Ni polisi mwenzake
Jambo linaumiza sana hili!Hakika huyu inspector hajapatikana mpaka leo huu ni mwezi wa tano anaelekea mwezi wa sita,nilimuona mama yake amalia muda wote anasema angalau hata waje waitupe maiti ya mwanae nje ya nyumba yake usiku amzike mwanae.dah maneno ya kukata tamaa!!
Kama RPC wa Dodoma hakupaswa kuwa ofisini kwa kupotea askari wake mwezi wa 7 huuJeshi la polisi chini ya sirro sio raia wala polisi wenyewe hawako salama!!
Hapa kuna namna! Polis wanajua wanacholifanyaKama RPC wa Dodoma hakupaswa kuwa ofisini kwa kupotea askari wake mwezi wa 7 huu
Hawa kwenye maslahi wanakulana wenyewe kwa wenyeweHapa kuna namna! Polis wanajua wanacholifanya
Mh rais nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukupa Afya njema na kuweza kutekeleza vyema majukumu yako ya kitaifa,mh rais Nina ombi maalum kwako kama mwananchi wako ambaye nimeguswa Sana na tukio la kupotea kwa askari polisi Emmanuelle Govella wa kituo kidogo cha mtumba mji wa kiserikali hapa Dodoma.
Mimi ni jirani hapa Nkuhungu Dodoma na Nyumba ambayo polisi huyu alikuwa amepanga siku ambayo ndugu wa huyo polisi walifika na polisi wa kituo Cha kati dodoma kuvunja mlango ili kujua kwanini askari huyo hapatikani muda mrefu nilikuwepo karibu.
Ilikuwa kati ya tarehe 19| 20 mwezi huu wa saba baada ya kuingia ndani walikuta simu ikiwa na laini zake zote Mbili lakini pia walikuta wallet yake ikiwa na vitambulisho vyake vyote mpaka kadi ya benki pamoja na fedha tasrimu sikujua kiasi gani, namba yake 0768243998 inaonyesha alikuwa hewani mala mwisho ni tarehe 26june hata ukiangalia WhatsApp inaonyesha hivyo mpaka siku wanabomoa kwake zilisha pita siku 24 Sasa Kuna maswali najiuliza ni kweli kwamba askari anapotea ZAIDI ya wiki 3 bila wenzake kujua?
Ombi langu kwako MH RAIS uunde kikosi maalum kichunguze upoteaji wa askari huyu Emmanuel govella Mpaka Leo hii nakutumia maombi haya ni takribani mwezi mmoja na siku 5 askari huyu hajaonekana ,nakutakia majukumu mema na Mwenyezi Mungu akutangulie.
Pole, Mkuu kwa tukio hilo. Lakini Mkuu, weka vizuri mtiririko wa tarehe tuunganishe dots vizuri.Ilikuwa kati ya tarehe 19| 20 mwezi huu wa saba baada ya kuingia ndani walikuta simu ikiwa na laini zake zote Mbili lakini pia walikuta wallet yake ikiwa na vitambulisho vyake vyote mpaka kadi ya benki pamoja na fedha tasrimu sikujua kiasi gani, namba yake 0768243998 inaonyesha alikuwa hewani mala mwisho ni tarehe 26june hata ukiangalia WhatsApp inaonyesha hivyo mpaka siku wanabomoa kwake zilisha pita siku 24 Sasa Kuna maswali najiuliza ni kweli kwamba askari anapotea ZAIDI ya wiki 3 bila wenzake kujua?
Unabeba kwenye begi unaenda kuvalia ofisini kwako au dressing rum popote pale au hutaki kunanguo zakuvaa hao wanaovaa mjini labda hawana nauli siunajua punguzo la nauliKwa hiyo hata nguo alikuwa havai anapokwenda kazini
Eneo la kuongea kujibizana jibizana eneo lakupiga piga don't talkUkiamua kufanya na system hakikisha unafuata vigezo na masharti. Tofauti na hapo utapotezwa na hakuna hata mfupa wako utakaoonekana.