Mamlaka naomba iunde kikosi maalumu kichunguze tukio la kupotea kwa Askari Emmanuelle Govella

Hakika huyu inspector hajapatikana mpaka leo huu ni mwezi wa tano anaelekea mwezi wa sita,nilimuona mama yake amalia muda wote anasema angalau hata waje waitupe maiti ya mwanae nje ya nyumba yake usiku amzike mwanae.dah maneno ya kukata tamaa!!
Jambo linaumiza sana hili!
 
IGP SIRRO kapiga kimya swala hili kama hajui na ni mwezi wa 7 sasa huyu askari hajapatikana
 
IGP SIRRO kapiga kimya swala hili kama hajui na ni mwezi wa 7 sasa huyu askari hajapatikana
Jeshi la polisi chini ya sirro sio raia wala polisi wenyewe hawako salama!!
 
Ina maana mpaka leo familia yake haina taarifa yoyote kuhusu ndugu yao

Ova
 

 
Pole, Mkuu kwa tukio hilo. Lakini Mkuu, weka vizuri mtiririko wa tarehe tuunganishe dots vizuri.
 
Kwa hiyo hata nguo alikuwa havai anapokwenda kazini
Unabeba kwenye begi unaenda kuvalia ofisini kwako au dressing rum popote pale au hutaki kunanguo zakuvaa hao wanaovaa mjini labda hawana nauli siunajua punguzo la nauli
 
Ukiamua kufanya na system hakikisha unafuata vigezo na masharti. Tofauti na hapo utapotezwa na hakuna hata mfupa wako utakaoonekana.
Eneo la kuongea kujibizana jibizana eneo lakupiga piga don't talk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…