GE2025 Mamlaka/watekaji tafadhali msimwondoe huyo kijana. Madaraka yanapita, maisha yanaendelea. Ni ushauri tu, msifanye kwa sababu ya madaraka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,977
Reaction score
4,912
Madaraka yanapita pls watekaji/ mamlaka huyo kijana alikosoa kwa staha na aliongea ili viongozi mjirekebishe kizuri zaidi chama anafahamu ccm mtandao walivyokuwa wanafanya mambo yao, lakini pia alikuwa akitoa ushauri mfano mwendo kasi kujenga tren za mjini.

Mtu ambaye alikuwa anasema kuwa kuna watu wana ukwasi haijulikani pesa wamezitoa wapi kweli huyo ni wa kumwondoa?

Jiulizenj nyie wenyewe je mnaamini mtakaa madarakani milele kwanini muache familia za wengine zinalia kwa majonzi makubwa kiasi hicho

Pendekezo langu huyo kijana mwacheni aendelee na maisha yake hadi sasa sion kama angeweza kuzuia mnayoendelea kufanya . Vyombo vyetu visitumike kupoteza wananchi.

👉IIGP unaona huyo kijana anafaa kuondolewa kama mnapambanua mambo inafaa kufanya hivo

👉CDF mnaona huyo kijana inafaa kumwondoa kwa kauli zake kweli tafakatini kwa mapana na kwa maslahi ya nchi

Kuanzia awamu ya tatu ya Benjamini Mkapa kijana huyo aliaminiwa na viongozi wa juu wa serikali hadi awamu ya sita alipoona yeye hafanani na yanayoendelea akaamua kujiuzuru na kuanza kukosoa uaminifu huo unatosha kuona alikuwa na nini kichwani , tafadhali tafakarini sana umma unamhitaji na wengine waliopotea wanahitajika pia.

👉DGIS tendenj mambo kwa wema madaraka yasiwalevye tafakarini mjadili wote kama mnaye kijana huyo tafadhali mwachieni aendelee na maisha yake.

Mimi naomba Mungu awaongoze kama mnaye katika maamuzi yote mtakayofanya lakini mhakikishe kuwa kijana anarudi salaama. 😭
 
Ni kweli kabisa haikupaswa kuondolewa uhai huyu ndugu, please wenye huo uwezo wa hatma yake jaribuni kuzirudia kusikiliaza zile clips zake naamini hamtakosa kujua hakua tu mkosoaji bali slikua anatoa njia nini kifanyike ili hatua ipigike kweye taifa Letu hili.

Mleta mada nakubaliana nawe hoja zako.
 
😭😭😭😭👇👇👇 naombeni kana anahatia apelekwe mahakamani kama hana naombeni muacheni aendelee na maisha yake ! Mimi sina urafiki.wowote na polepole na hanijui kabisa lakini naguswa sana kwa yaliyomtokea.😭
 
Attachments

  • 7b7b28f6a08bfec126de34bb4b0ae7a4.mp4
    936.9 KB
  • FB_IMG_1759865849066.jpg
    FB_IMG_1759865849066.jpg
    18.8 KB · Views: 20
  • Facebook 1103015228692703(480P_SD).mp4
    4.4 MB
Damu za watanzania wote ni sawa ......utekaji ukataliwe na kila mtu mwenye akili.
Mwana kulitafuta , mwana kulipata, waswahili wanasema MKATAA PEMA PABAYA HUMUITA.
Watu wanaotafuta umaarufu kwa kushindana na serikali ni bora liwakute lolotela kuwakuta ili wawe maarufu zaidi.
Ni upumbavu wa hali ya juu kuchokoza vita wakati hujui kupigana ukitegemea kupata wapambe watakokupigania.
Kama kuna lolote limempata huyo polepole nadhani ni moja ya faida za kuwa maarufu.
APAMBANE NA HALI YAKE YEYE NA FAMILIA YAKE.
 
😭😭😭😭👇👇👇 naombeni kana anahatia apelekwe mahakamani kama hana naombeni muacheni aendelee na maisha yake ! Mimi sina urafiki.wowote na polepole na hanijui kabisa lakini naguswa sana kwa yaliyomtokea.😭
Huyo mtu inadaiwa katekwa usiku wa maname akiwa peke yake ndani ya nyumba!.
Sasa unaposema: "muachieni au mpelekeni mahakamani "
Unaamini waliomteka wamo humu jamii forums ?!
Kama unawajua waliomteka labda uliwaona wakati wanamteka si ukatoe taarifa polisi ili hatua stahiki zichukuliwe?!
Huyo ndugu yake anayesema eti polepole katekwa na polisi ana ushahidi gani wakati tukio lilitokea usiku na yeye huyo Augustino hakuwepo wakati ndugu yake anatekwa?!
Acheni kuleta taharuki zisizokuwa na sababu!
 
Polepole anatafuta umaarufu gani sasa we vip ndugu, kazungumza alichoona sahihi na watu wenye akili wamemwelewa we huwezi badili upepo kwa hayo maneno yako ya chuki.
 
Huyo mtu inadaiwa katekwa usiku wa maname akiwa peke yake ndani ya nyumba!.
Sasa unaposema: "muachieni au mpelekeni mahakamani "
Unaamini waliomteka wamo humu jamii forums ?!
Kama unawajua waliomteka labda uliwaona wakati wanamteka si ukatoe taarifa polisi ili hatua stahiki zichukuliwe?!
Huyo ndugu yake anayesema eti polepole katekwa na polisi ana ushahidi gani wakati tukio lilitokea usiku na yeye huyo Augustino hakuwepo wakati ndugu yake anatekwa?!
Acheni kuleta taharuki zisizokuwa na sababu!
We jamaa ni mpumbv sana taharuki gani wakati mamlaka ndizo zinaleta taharuki unafikri swala la polepole jeshi la polisi hawajui au unaamini taarifa yao waliyotoa kwa umma bado upo gizani hivo
 
Madaraka yanapita pls watekaji/ mamlaka huyo kijana alikosoa kwa staha na aliongea ili viongozi mjirekebishe kizuri zaidi chama anafahamu ccm mtandao walivyokuwa wanafanya mambo yao, lakini pia alikuwa akitoa ushauri mfano mwendo kasi kujenga tren za mjini.

Mimi naomba Mungu awaongoze kama mnaye katika maamuzi yote mtakayofanya lakini mhakikishe kuwa kijana anarudi salaama. 😭
Naunga mkono hoja, tumeikumbusha
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.

Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu

Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.

Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.

Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"

Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.

Paskali

Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.

Lakini kama ni wale wasiojulikana 'wasiojulikana', then tunawaomba kwa kuwashauri, mfanyieni tuu mohojiano kwa njia za kawaida za majojiano, kama akikutikana na hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye kujijua, mkajikuta badala ya kumsaidia, mkamponza, Mzee Karma akamshukia kama mlivyomponza yule mtangulizi wake!. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Ni ushauri tuu!.
P
 
Madaraka yanapita pls watekaji/ mamlaka huyo kijana alikosoa kwa staha na aliongea ili viongozi mjirekebishe kizuri zaidi chama anafahamu ccm mtandao walivyokuwa wanafanya mambo yao, lakini pia alikuwa akitoa ushauri mfano mwendo kasi kujenga tren za mjini.

Mtu ambaye alikuwa anasema kuwa kuna watu wana ukwasi haijulikani pesa wamezitoa wapi kweli huyo ni wa kumwondoa?

Jiulizenj nyie wenyewe je mnaamini mtakaa madarakani milele kwanini muache familia za wengine zinalia kwa majonzi makubwa kiasi hicho

Pendekezo langu huyo kijana mwacheni aendelee na maisha yake hadi sasa sion kama angeweza kuzuia mnayoendelea kufanya . Vyombo vyetu visitumike kupoteza wananchi.

👉IIGP unaona huyo kijana anafaa kuondolewa kama mnapambanua mambo inafaa kufanya hivo

👉CDF mnaona huyo kijana inafaa kumwondoa kwa kauli zake kweli tafakatini kwa mapana na kwa maslahi ya nchi

Kuanzia awamu ya tatu ya Benjamini Mkapa kijana huyo aliaminiwa na viongozi wa juu wa serikali hadi awamu ya sita alipoona yeye hafanani na yanayoendelea akaamua kujiuzuru na kuanza kukosoa uaminifu huo unatosha kuona alikuwa na nini kichwani , tafadhali tafakarini sana umma unamhitaji na wengine waliopotea wanahitajika pia.

👉DGIS tendenj mambo kwa wema madaraka yasiwalevye tafakarini mjadili wote kama mnaye kijana huyo tafadhali mwachieni aendelee na maisha yake.

Mimi naomba Mungu awaongoze kama mnaye katika maamuzi yote mtakayofanya lakini mhakikishe kuwa kijana anarudi salaama. 😭
Ushauri mzuri lakini unaowashauri ni miungu na wanajua hatima yao. Sa100 ni zaidi ya shetani.
 
Mwana kulitafuta , mwana kulipata, waswahili wanasema MKATAA PEMA PABAYA HUMUITA.
Watu wanaotafuta umaarufu kwa kushindana na serikali ni bora liwakute lolotela kuwakuta ili wawe maarufu zaidi.
Ni upumbavu wa hali ya juu kuchokoza vita wakati hujui kupigana ukitegemea kupata wapambe watakokupigania.
Kama kuna lolote limempata huyo polepole nadhani ni moja ya faida za kuwa maarufu.
APAMBANE NA HALI YAKE YEYE NA FAMILIA YAKE.
Abuu umeandika kama adriz The Consigliere !
 
Wenye mamlaka na nchi hii ni wananchi kukaa unaomba omba watu ambao unaona kabisa wako kimya mda mrefu watu wanapotea wao wapo kimya ni ufala mwingine.Kilicho baki ni kuwawajibisha km wamesahau wajibu wao kulinda watz
 
😭😭😭😭👇👇👇 naombeni kana anahatia apelekwe mahakamani kama hana naombeni muacheni aendelee na maisha yake ! Mimi sina urafiki.wowote na polepole na hanijui kabisa lakini naguswa sana kwa yaliyomtokea.😭
Regimes hizi 2 ni za extrajudicial elimination kwa kiwango kikubwa. Si kwamba hawafahamu uwepo wa mahakama bali hawaamini utendaji wa chombo hicho.
 
Mwana kulitafuta , mwana kulipata, waswahili wanasema MKATAA PEMA PABAYA HUMUITA.
Watu wanaotafuta umaarufu kwa kushindana na serikali ni bora liwakute lolotela kuwakuta ili wawe maarufu zaidi.
Ni upumbavu wa hali ya juu kuchokoza vita wakati hujui kupigana ukitegemea kupata wapambe watakokupigania.
Kama kuna lolote limempata huyo polepole nadhani ni moja ya faida za kuwa maarufu.
APAMBANE NA HALI YAKE YEYE NA FAMILIA YAKE.
Na ijumaa mnaenda kununua makalio msikitini?
 
Mwana kulitafuta , mwana kulipata, waswahili wanasema MKATAA PEMA PABAYA HUMUITA.
Watu wanaotafuta umaarufu kwa kushindana na serikali ni bora liwakute lolotela kuwakuta ili wawe maarufu zaidi.
Ni upumbavu wa hali ya juu kuchokoza vita wakati hujui kupigana ukitegemea kupata wapambe watakokupigania.
Kama kuna lolote limempata huyo polepole nadhani ni moja ya faida za kuwa maarufu.
APAMBANE NA HALI YAKE YEYE NA FAMILIA YAKE.
Ukome kuni-qoute halafu unaandika upumbavu cho.ko wewe.
 
Back
Top Bottom