Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
- Thread starter
- #21
Naamini mungu hata mwacha watamuachia ingawa yupo kwenye mateso makali ogopa sana kuteswa huku usijue wapi ulipo
Udini unakusumbua,na utakutesa mpaka unaingia kaburiniMwana kulitafuta , mwana kulipata, waswahili wanasema MKATAA PEMA PABAYA HUMUITA.
Watu wanaotafuta umaarufu kwa kushindana na serikali ni bora liwakute lolotela kuwakuta ili wawe maarufu zaidi.
Ni upumbavu wa hali ya juu kuchokoza vita wakati hujui kupigana ukitegemea kupata wapambe watakokupigania.
Kama kuna lolote limempata huyo polepole nadhani ni moja ya faida za kuwa maarufu.
APAMBANE NA HALI YAKE YEYE NA FAMILIA YAKE.
Mkiambowa ukweli mnaanza kutokana!.Ukome kuni-qoute halafu unaandika upumbavu cho.ko wewe.
Hapa hakuna udini.Udini unakusumbua,na utakutesa mpaka unaingia kaburini
Mambo ya ijumaa na misikiti yanahusika vipi na ujumbe niliouandika?!Na ijumaa mnaenda kununua makalio msikitini?
Nadhani wewe ndiye mpumbavu ila hujajijua kuwa ni mpumbavu kwakuwa nyani haoni kundule!We jamaa ni mpumbv sana taharuki gani wakati mamlaka ndizo zinaleta taharuki unafikri swala la polepole jeshi la polisi hawajui au unaamini taarifa yao waliyotoa kwa umma bado upo gizani hivo
Mimi sina chuki na polepole ila nasema ukweli kwamba yawezekana polepole na familia yake wanatumiwa na maadui wa taifa letu kuleta taharuki ili kuvuruga amani , utulivu na mshikamano wa kitaifa ambao tumeurithi toka kwa waasisi wa TAIFA hili.Polepole anatafuta umaarufu gani sasa we vip ndugu, kazungumza alichoona sahihi na watu wenye akili wamemwelewa we huwezi badili upepo kwa hayo maneno yako ya chuki.
Wewe ni mjinga mmoja,mdini na ni lichawa! Hata uandike essay ndefu kiasi gani watu wanaelewa unachomaanisha na uko upande gani! Na kama sio polisi wewe sijui,ila mwisho wenu utafika tu!Nadhani wewe ndiye mpumbavu ila hujajijua kuwa ni mpumbavu kwakuwa nyani haoni kundule!
Swali la msingi ni kwamba huyo kaka yake polepole alikuwepo wakati polepole anatekwa?!
Ni kweli mimi naliamimi jeshi la polisi 100% kwa sababu ndilo lenye dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zao!.
Siku nitakapoacha kuliamini jeshi la polisi nitalazimika kuhama Tanzania niende kuishi kwenye nchi nyingine yenye jeshi linaloweza kunilinda Mimi,familia yangu na mali zangu.
Kati ya watu wote wanaopiga kelele kuwa polepole katekwa hakuna hata mmoja anayethibitisha kwamba aliwaona watekaji kwa macho yake zaidi ya kusambazwa habari ambazo hawana uhakika nazo na ndio maana wakiambiwa wapeleke ushahidi wao polisi ili hatua stahiki zichukuliwe wanaanza kuleta ngonjera kwasababu wanajua kuwa hawana ushahidi wa madai yao.
MTU MWENYE USHAHIDI HUWA HAOGOPI KUTOA USHAHIDI WAKE MAHALA POPOTE.
Ukiona mtu badala ya kupeleka maelezo yake mbele ya mamlaka zinazohusika yeye kakazana na mitandao jua huyo ni mtu anayetumiwa na maadui wa taifa .
Namuunga mkono , kupambana kizembe ni makosa makubwa haswa kabisa unajua hao watu Wana nguvu kubwa kuliko wewe na timu yakoAbuu umeandika kama adriz The Consigliere !
kwa namna walivyomchukuwa na wasivyo na akili hamtamuona tenaMadaraka yanapita pls watekaji/ mamlaka huyo kijana alikosoa kwa staha na aliongea ili viongozi mjirekebishe kizuri zaidi chama anafahamu ccm mtandao walivyokuwa wanafanya mambo yao, lakini pia alikuwa akitoa ushauri mfano mwendo kasi kujenga tren za mjini.
Mtu ambaye alikuwa anasema kuwa kuna watu wana ukwasi haijulikani pesa wamezitoa wapi kweli huyo ni wa kumwondoa?
Jiulizenj nyie wenyewe je mnaamini mtakaa madarakani milele kwanini muache familia za wengine zinalia kwa majonzi makubwa kiasi hicho
Pendekezo langu huyo kijana mwacheni aendelee na maisha yake hadi sasa sion kama angeweza kuzuia mnayoendelea kufanya . Vyombo vyetu visitumike kupoteza wananchi.
👉IIGP unaona huyo kijana anafaa kuondolewa kama mnapambanua mambo inafaa kufanya hivo
👉CDF mnaona huyo kijana inafaa kumwondoa kwa kauli zake kweli tafakatini kwa mapana na kwa maslahi ya nchi
Kuanzia awamu ya tatu ya Benjamini Mkapa kijana huyo aliaminiwa na viongozi wa juu wa serikali hadi awamu ya sita alipoona yeye hafanani na yanayoendelea akaamua kujiuzuru na kuanza kukosoa uaminifu huo unatosha kuona alikuwa na nini kichwani , tafadhali tafakarini sana umma unamhitaji na wengine waliopotea wanahitajika pia.
👉DGIS tendenj mambo kwa wema madaraka yasiwalevye tafakarini mjadili wote kama mnaye kijana huyo tafadhali mwachieni aendelee na maisha yake.
Mimi naomba Mungu awaongoze kama mnaye katika maamuzi yote mtakayofanya lakini mhakikishe kuwa kijana anarudi salaama. 😭
Mwana kulitafuta , mwana kulipata, waswahili wanasema MKATAA PEMA PABAYA HUMUITA.
Watu wanaotafuta umaarufu kwa kushindana na serikali ni bora liwakute lolotela kuwakuta ili wawe maarufu zaidi.
Ni upumbavu wa hali ya juu kuchokoza vita wakati hujui kupigana ukitegemea kupata wapambe watakokupigania.
Kama kuna lolote limempata huyo polepole nadhani ni moja ya faida za kuwa maarufu.
APAMBANE NA HALI YAKE YEYE NA FAMILIA YAKE.
Hajakataa kuhojiwa ila kumbuka atakae enda kumuhoji ndo uyo uyo mwafwele maana ndo anahusika na crime Dsm we unamshtaki mtot wa fisi kwa familia ya mafisi na fisi na ananjaa we unategemea niniMimi sina chuki na polepole ila nasema ukweli kwamba yawezekana polepole na familia yake wanatumiwa na maadui wa taifa letu kuleta taharuki ili kuvuruga amani , utulivu na mshikamano wa kitaifa ambao tumeurithi toka kwa waasisi wa TAIFA hili.
Kama huyo ndugu yake polepole aliwaona watekaji kwanini haendi polisi kuandika maelezo yake ili polisi wapate pa kuanzia upelelezi?!
Kwanini anakazana kuzungumza na mitandao ya kijamii ,? Au watu wa kwenye mitandao ndio watamsaidia kumtafuta ndugu yake aliyejiteka?!
Wao familia familia ya polepole wanatakiwa watoe maelezo kuhusu ndugu yao kuanzia alivyorejea toka nje ya nchi na mazingira yake ya maisha kwa muda aliokuwepo hapa nchini.
Maelezo watakayoyatoa ndiyo yatawapa mwanga polisi kwamba waanzie wapi kumtafuta ndugu yao.
Miaka ya nyuma kuna diwani aliwahi kudaiwa kapotea na taarifa zikafika polisi lakini baada ya masiku kupita akajakutwa kajificha kwa hawara yake fulani huko Mbagala akila raha zake akiwa hana habari kabisa kuwa kuna watu wanamtafuta .
Polisi mwenye akili. Ndogo anayefuata amri za wakubwa ! Wewe ulivyokuwa jinga unaamini ushahidi wote unajengwa kwa kumuona mhusika ,Nadhani wewe ndiye mpumbavu ila hujajijua kuwa ni mpumbavu kwakuwa nyani haoni kundule!