Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Walishapigwa kitamboBandari na watumishi wote piga bei!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishapigwa kitamboBandari na watumishi wote piga bei!!
Asingekuwa mzanzibar angeshatolewa kitambo sanaAliko prof Mbarawa ni waziri wa hovyo kuwai kutokea
Mmoja wa maprofesa wa ajabu sana, hapo nasikia KIA nayo ipo mbioni kuingia mkataba wa hovyo.Prof mbarawa alaanike kwa kisasi chake chote
Port Automation System itawadelete wengi sana!. Wengi wanarudi Magetoni😭Redundancy ya aina yake! Siyo kila mfanyakazi atahitajika DP World.
porojo tu hizi. Bila kufanya kitu kikubwa nchi hii inaangamiaTPA inauhakikishia Umma kwamba, itaendelea kuwathamini Watumishi wake ambao ni rasilimali muhimu zaidi katika Mamlaka na katika utekelezaji wa zoezi hili, maslahi ya pande zote husika yatazingatiwa kikamilifu kwa mujibu wa Sheria za Nchi yetu.
Watabanwa kinoma aisee ,walivyozoea bata hatari sana ,sehemu nyeti wanaondolewa kote .Hii ndio inaitwa Counter attack ya DP world, kuanzia April Mosi ajira za watumishi wa bandari zitakuwa katika mtazamo mpya kabisa, kuna dalili za kilio kwa baadhi ya watu.
Yaani jengo moja lenye vyumba 10 vya ofisi lina wafagizi zaidi ya saba, wenye mishahara ya kuanzia 1m kwa mwezi na bado chafu halafu muarabu aache hivyo hivyo, watapukutishwa wote hapo, halafu kampuni za usafi zitapewa tender ya kuhakikisha usafi hapo.
Hawa wafanyakazi hawakupaswa kupewa jukumu la kuchagua TPA au DP World. Nionavyo mimi ilitakiwa TPA kukabidhi wafanya kazi wote waliokuwa chini ya TPA kwa DP world, Muundo wa TPA uvunjwe na ubaki uongozi wa TPA kusimamia tu uendeshaji wa DP world na kuhakikisha hawa DP World hawatanyanyasa wafanyakazi na kuhakikisha malipo yao yanfuata makubaliano ya mkataba, na kuhakikisha mkataba wenyewe unaenda kama ulivyopangwa.
Sasa TPA inabaki kufanya nini ilkiwa DP World anapewa Bandari ya Dar es Salaam na zingine na za maziwa yote, kama sikukosea mkataba ulikuwa unasemaje.
TPH iji disolve yenyewe, wafanyakazi wote waende kule DP World kwa mama Kizimkazi.
Hao wafanyakazi watakao bahatika kubakia TPA watatupwa huko mikoani wakapauke vibaya. Muarabu hana muda wa kucheka cheka na kima mweusi.Kuna sehemu wameandika, "kwani TPA ina mpango wa kuboresha bandari zake ktk maeneo mbalimbali nchini" maana yake watatawanywa ktk bandari zingine[emoji16][emoji16]
😆 mtaalam wangu we wa masuala ya uchumi na fedhaTuliwakatalia Oman na China kama awataki mkataba wa miaka 33 bandari ya Bagamoyo uwekezaji wa $10 billion dollars.
Halafu tumeenda wapa Dubai miaka 30 kwa uwekezaji wa $500m huku wanachukua sehemu kubwa ya Dar port.
Haki ya mungu hii nchi, uwekezaji wa DP World ni kweli unatija na strategic lakini ndio miaka 30.
Excuse my language sijapata kuona nchi ina viongozi wasiojielewa kama Tanzania. Hiyo hela DP world si anarudisha chini ya miaka minne tu.
Mkuu michango yangu msingi wake ni basic knowledge tu ya graduate wa masomo ya biashara, sijafikia level ya kujiita mtaalamu bado.😆 mtaalam wangu we wa masuala ya uchumi na fedha
Hii nchi ukisema uifatilie itakupasua moyo + ubongo tu
Ova
Huyu mbuzi alimshika kende Putin badae akaliwa timing na watoto wa mjini wakampopoa ahahahhaha