Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Watakaochagua Dp wataangukia Pua hawatafikisha 30 years kwenye ajiraKimsingi TPA hana mamlaka kwenye bandari kwa sasa na kama angekuwa ana mamlaka kama tulivyo ambiwa hawa wafanyakazi walitakiwa kukabidhiwa kwa DPW! Lakini kimsingi hawa wafanyakazi ni kama wamefukuzwa kazi TPA na ndio maana wanapewa option ya kinachoitwa kuajiriwa maana yake watapewa mikataba mipya na yenye masharti mapya na watapimwa kwa vigezo na hakutakuwa na kufanya kazi bila kufukuzwa kazi hivyo wale watakao ajiriwa na DPW wajiandae kuchapa kazi kweli kweli ……!
Kiufupi watakao baki TPA wengi wao watahamishiwa kwenye ofisi za serikali na mashirika mengine na pia watapelekwa kwenye vibandari vidogo vidogo…..!
Kwa watanzania walivyo na mambo ya hovyo,uvivu ,ujinga nawashauri wabaki TPA….