Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

Maendeleo huja na changamoto zake. Ni kweli kama tungeweza kuendesha bandari zetu wenyewe kwa ufanisi basi kusingekuwa na haja ya DP World. Tatizo lilianza kwa hao wafanyakazi wa TPA na uongozi wao. Walioajiriwa ni wengi lakini karibu wote wanachowaza ni upigaji. Hata sisi tulio nje ya ajira za TPA wengi wetu tulikuwa tukitamani kupata ajira hapo ili tupige. Kimsingi hela nyingi za umma zilikuwa zinaishia kwenye matumbo ya watu wa TPA. Ni kawaida kuona mtumishi wa TPA ndani ya miaka michache akimiliki mali za mamilioni kirahisi. DP World ndo mwarobaini.

Mimi ninashauri watumishi wabaki TPA na kumalizana na TPA kuhusu stahiki zao na wakubali tu kiroho safi aidha kuacha kazi au kupangiwa kwingine. Kwa upuuzi walio nao wasijaribu kwenda DP World kwa sababu watadumu kwa muda mfupi kabla ya kufukuzwa. DP World atabaki na watu smart tu na wenye maadili.
 
Hivi kubinafsisha bandari gati 0-7 ambazo ndo zinaongoza kuingiza hela kwa miaka 30 si ni biashara kichaa.

1: TPA juzi kati ilisema imeingiza bil 286 kwa mwak mmoja tu.

2: DPW imenunua kwa dolar 500 tu sawa na Til 1.2

3: Kama TPA iliingiza bil 286 kwa mwaka mmoja, basi inaitaji miaka 5 tu kuingiza hiyo hela ya DPW ya 1.2 Til

5: Kwa mantiki hiyo DPW itarudisha hela zao kwa miaka 5 tu.

6: Sasa wamepewa miaka 30 yaani miaka 25 yote ya ziada wanafanya Tanzania ports shamba la bibi.

7: Hivi watalaam wetu hawa waliotufundisha vyuo vikuu uchumi na fedha hawakuliona ili?

8: Na hivi Til 1.2 alizokuja nazo DPW, Serikali yetu ingekopa NSSF na PSSSF na kufanya PPP na local banks kama CRDB na NMB kweli tungekosa kiasi hicho kidogo kwa serikali tukaendesha wenyewe, mpk tuwape wapigaji waarabu DPW?

TUTAWAKUNBUKA MILELE NYERERE NA MAGUFULI. Mama Kizimkazi katuingiza chaka.
 
TPA kuna kila aina ya security kuanzia polisi, TISS, TAKUKURU, camera, mifumo ya kisasa n.k vyote hivyo vimeshindwa kufanya kazi? hapo tatizo ni Ikulu wala hakuna kingine
 
Maendeleo huja na changamoto zake. Ni kweli kama tungeweza kuendesha bandari zetu wenyewe kwa ufanisi basi kusingekuwa na haja ya DP World. Tatizo lilianza kwa hao wafanyakazi wa TPA na uongozi wao. Walioajiriwa ni wengi lakini karibu wote wanachowaza ni upigaji. Hata sisi tulio nje ya ajira za TPA wengi wetu tulikuwa tukitamani kupata ajira hapo ili tupige. Kimsingi hela nyingi za umma zilikuwa zinaishia kwenye matumbo ya watu wa TPA. Ni kawaida kuona mtumishi wa TPA ndani ya miaka michache akimiliki mali za mamilioni kirahisi. DP World ndo mwarobaini.

Mimi ninashauri watumishi wabaki TPA na kumalizana na TPA kuhusu stahiki zao na wakubali tu kiroho safi aidha kuacha kazi au kupangiwa kwingine. Kwa upuuzi walio nao wasijaribu kwenda DP World kwa sababu watadumu kwa muda mfupi kabla ya kufukuzwa. DP World atabaki na watu smart tu na wenye maadili.
Daah.... Akili hizi.
Kwa hiyo ni bora apige mwarabu ila sio mtanzania?
 
Sioni ajabu hapo, mkataba ulielekeza kila kitu hakuna jipya.
Asilimia kubwa ya wafanyakazi wa bandari ndani ya miaka miwili watakuwa nje ya ajira.
Hakuna sehemu kwenye mkataba inayomfunga DP WORLD kufanya kazi na wafanyakazi wa TPA.
hizi ni porojo tu km tulivyoambiwa mkataba umerekebishwa huku hatuoneshwi huo uliorekebishwa.
Kwangu mimi naona ni sawa tu.
Mtanzania sio mtu wa kumtetea utaambulia matusi na kejeli na ikibidi utauwawa na hao unaodhani unawatetea.
Tusisahau kauli mbiu yetu
Tunampongeza sana mama yetu mama Samia kwa kutuletea mfungo wa ramadhani na kwaresma zikaenda pamoja
 
Jiulize ikiwa wafanyakazi wote watasema TUNABAKI TPA. DP Worl itaajiri wafanyakazi wake wapya. Sasa hawa wa TPA watafanya kazi wapi na malipo gani, au watafukuzwa kwa kulazimishwa kustaafu?

Kabla ya kubinafsisha , ilitakiwa serikali ime imeshaweka mfumo bora wa staff wa TPA. Havikupaswa hata kuja public. Proper internal arrangements ambayo ina benefit wote.

Tatizo kubwa la TZ ni hakuna viongozi wazalendo.
Somehow Bara la mtu mweusi Africa kutoa waarabu ni kama vile lina LAANA. Matatizo yao yote ni yale yale na viongozi wao wote ni bilionea. Ni haki kabisa waarabu wa Africa kukataa kuitwa waafrica. Africa identity represents poverty and mental enclave.
 
Sioni ajabu hapo, mkataba ulielekeza kila kitu hakuna jipya.
Asilimia kubwa ya wafanyakazi wa bandari ndani ya miaka miwili watakuwa nje ya ajira.
Hakuna sehemu kwenye mkataba inayomfunga DP WORLD kufanya kazi na wafanyakazi wa TPA.
hizi ni porojo tu km tulivyoambiwa mkataba umerekebishwa huku hatuoneshwi huo uliorekebishwa.
Kwangu mimi naona ni sawa tu.
Mtanzania sio mtu wa kumtetea utaambulia matusi na kejeli na ikibidi utauwawa na hao unaodhani unawatetea.
Tusisahau kauli mbiu yetu
Tunampongeza sana mama yetu mama Samia kwa kutuletea mfungo wa ramadhani na kwaresma zikaenda pamoja
Hapo automatic wamekuwa majobless unaweza enda TPA ukafanya kazi kwa mkopo una resign TPA unaenda DPW unakataliwa huna sifa 😂😂 haya ni mawazo yangu tu
 
Daah.... Akili hizi.
Kwa hiyo ni bora apige mwarabu ila sio mtanzania?
Wewe Kenge kila siku unalia kuhusu umeme, maji, hospitali, barabara na mambo mengine huku ukisahau hayo yote unayolalamikia yanafanywa kupitia kodi na tozo zingine ambapo bandari ndo chanzo kikuu. Kodo na tozo nyingi za serikali ziliishia mikononi mwa watu. Bora DP World azifikishe zote serikalini kuliko watu wachache kuzitafuna.
 
Hasira za nini mkuu?
Ndio hizi?
Screenshot_20240324-091420.jpg
 
Yaani gharama za ujenzi mwaka 2007 ufananishe na gharama za sasahivi kweli?
Kama gharama ya material imepanda kwa asilimia hizo je pato la raia pia limepanda kwa asilimia hizo?

Au vinapanda upande wa manunuzi ya serikali tu huku uraiani zikibaki vile vile?
Mwenzio hapo anajiita MamaSamia2025 anadai wafanyakazi wa bandari walikuwa wezi, kumbe gharama za maisha zimepanda kutoka 2007 hadi 2024 kwa asilimia zaidi ya 700 huku mishahara ongezeko halifiki hata asilimia 20.
Pia kumbuka huo uwanja unaojengwa hapo ni nusu ya uwanja wa Mkapa maana ongezeko linakuwa asilimia 1400.
Hili sasa sio asilimia ni asilielfu
 
Tuliwakatalia Oman na China kama awataki mkataba wa miaka 33 bandari ya Bagamoyo uwekezaji wa $10 billion dollars.

Halafu tumeenda wapa Dubai miaka 30 kwa uwekezaji wa $500m huku wanachukua sehemu kubwa ya Dar port.

Haki ya mungu hii nchi, uwekezaji wa DP World ni kweli unatija na strategic lakini ndio miaka 30.

Excuse my language sijapata kuona nchi ina viongozi wasiojielewa kama Tanzania. Hiyo hela DP world si anarudisha chini ya miaka minne tu.
Sasa Watanganyika walishupalia mkataba kisa Mwarabu... Yani Watanganyika maswala ya kitaifa wao wakaweka udini kama vile wanawakomoa watu kumbe wanajikomoa wenyewe 😭😭
 
Sasa wasipouvunja muundo wao na wao wakawa na wafnyakazi wao na DP World ikawa na wafanya kazi wake inapoteza taswira tuliyoambiwa wakati DP World walipokuwa watutongoza. Walisema HAKUNA MFANYAKAZI ATAPOTEZA AJIRA WALA STAHIKI ZAKE, BALI ZITABOREKA NA KUBORESHWA.

Sasa Jiulize, Ikiwa wafanyakazi wote wakaamua kubaki TPA, DP World inabidi aajiri wafanyakazi wapya, sasa hao wafanyakazi wa TPA watafanya kazi gani na wapi?
Watasamnazwa bandari zingine kama Tanga,Mtwara,Mbambay na nyinginezo.
 
Hivi kubinafsisha bandari gati 0-7 ambazo ndo zinaongoza kuingiza hela kwa miaka 30 si ni biashara kichaa.

1: TPA juzi kati ilisema imeingiza bil 286 kwa mwak mmoja tu.

2: DPW imenunua kwa dolar 500 tu sawa na Til 1.2

3: Kama TPA iliingiza bil 286 kwa mwaka mmoja, basi inaitaji miaka 5 tu kuingiza hiyo hela ya DPW ya 1.2 Til

5: Kwa mantiki hiyo DPW itarudisha hela zao kwa miaka 5 tu.

6: Sasa wamepewa miaka 30 yaani miaka 25 yote ya ziada wanafanya Tanzania ports shamba la bibi.

7: Hivi watalaam wetu hawa waliotufundisha vyuo vikuu uchumi na fedha hawakuliona ili?

8: Na hivi Til 1.2 alizokuja nazo DPW, Serikali yetu ingekopa NSSF na PSSSF na kufanya PPP na local banks kama CRDB na NMB kweli tungekosa kiasi hicho kidogo kwa serikali tukaendesha wenyewe, mpk tuwape wapigaji waarabu DPW?

TUTAWAKUNBUKA MILELE NYERERE NA MAGUFULI. Mama Kizimkazi katuingiza chaka.
Shida sio kupata hizo pesa bali uendeshaji tunawekeza sana mrejesho ni mdogo naunga mkono ujio wa DP WORD.
 
Maendeleo huja na changamoto zake. Ni kweli kama tungeweza kuendesha bandari zetu wenyewe kwa ufanisi basi kusingekuwa na haja ya DP World. Tatizo lilianza kwa hao wafanyakazi wa TPA na uongozi wao. Walioajiriwa ni wengi lakini karibu wote wanachowaza ni upigaji. Hata sisi tulio nje ya ajira za TPA wengi wetu tulikuwa tukitamani kupata ajira hapo ili tupige. Kimsingi hela nyingi za umma zilikuwa zinaishia kwenye matumbo ya watu wa TPA. Ni kawaida kuona mtumishi wa TPA ndani ya miaka michache akimiliki mali za mamilioni kirahisi. DP World ndo mwarobaini.

Mimi ninashauri watumishi wabaki TPA na kumalizana na TPA kuhusu stahiki zao na wakubali tu kiroho safi aidha kuacha kazi au kupangiwa kwingine. Kwa upuuzi walio nao wasijaribu kwenda DP World kwa sababu watadumu kwa muda mfupi kabla ya kufukuzwa. DP World atabaki na watu smart tu na wenye maadili.
Hebu tueleze mkuu upogaji wa TPA ni upi!?
Mtu anayehusika na kuchukua kodi ni TRA hao TPA wanapiga madili gani!?
Au ndio hearsay
 
Back
Top Bottom