Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

Hebu tueleze mkuu upogaji wa TPA ni upi!?
Mtu anayehusika na kuchukua kodi ni TRA hao TPA wanapiga madili gani!?
Au ndio hearsay
Hebu acha utaahira. Kila mara tunasiki kwenye vyombo vya habari wanaopelekwa mahakamani kutokea TPA kwa matumizi mabaya ya fedha huwa ni majini? Hata hapa JF search TPA utapata majibu ya swali lako. Pumbavu sana
 
Kama gharama ya material imepanda kwa asilimia hizo je pato la raia pia limepanda kwa asilimia hizo?

Au vinapanda upande wa manunuzi ya serikali tu huku uraiani zikibaki vile vile?
Mwenzio hapo anajiita MamaSamia2025 anadai wafanyakazi wa bandari walikuwa wezi, kumbe gharama za maisha zimepanda kutoka 2007 hadi 2024 kwa asilimia zaidi ya 700 huku mishahara ongezeko halifiki hata asilimia 20.
Pia kumbuka huo uwanja unaojengwa hapo ni nusu ya uwanja wa Mkapa maana ongezeko linakuwa asilimia 1400.
Hili sasa sio asilimia ni asilielfu
Uwe unanitaja endapo umeandika point.
 
Nakuelewa, Lakini hawa TPA watakuwa ama WALITUDANGANYA au WAMEKIUKA WALICHOTUAMBIA. Walisema Hakuna mtanzania anayefanya kazi TPA atakosa ajira au kufukuzwa kwa sababu ya ujio wa DP World.

Na kwa mtizamo wangu hawa TPA walitakiwa wawaamishe wafanyakazi wao wote na mikataba yao ya awali ya TPA kwenda DP World. Na DP World alipaswa awapokee na kuwapa majukumu kulingana na mpangilio wake wa kazi na sio vinginevyo. TPA ambayo ndiye msimamizi wa ajira zao alipaswa kuhakikisha hilo takwa linatekelezeka na sio vinginevyo, kupewa option ya kuchagua ni kuingizana mkenge.

Inakuwaje nikichagua kutoka TPA na kwenda DP World nikafika kule DP World akasema sina qualification za kutosha au uwezo wa kufanya kazi naye, na kunifukuza? Apo lawama anabeba nani? TPA au Dp World?

TPA na serikali waache kulaghai watu na waweke mambo wazi, na hao wafanyakazi watulize akili ningekuwa mimi ni bora nibaki na TPA tumalizane kwanza, tulipwe malipo yetu na stahiki zote za wao TPA kukatisha ajira yetu. Kisha nitaenda DP World kuomba kujaribu zali nikipata sawa nikikosa sawa, vinginevyo ni kuwanyima raia haki zao.
Sasa nafikiri kila mtanzania ameanza kuwaelewa TEC na Chadema,Dr Slaa na Mwambukusi!
 
Porojo porojo..mtu anakuambia unaweza kuondoka lkn hata usipotaka kuondoka baki tu..bado tunakuhitaji sehemu nyingine....kweli??Huu ni mtego...Kama mnawahitaji kwa nini mnawaambia waondoke..hao DPW si waajiri wa kwao wengine??
 
Haujui kitu ndio maana umeshindwa kusema huo upigaji.
TPA wanamishara mizuri ambayo hata mhudumu kuwa na gari sio ajabu. Posho zao zinatosha kuwa mshara wa mtu flani. Mtu yeyote wa bank anayetoa mikopo hawezi kusita kumpa mtu wa TPA
Sio kazi yangu kukuthibitishia maku kama wewe kuhusu huo upigaji. Fuatilia kwenye vyombo vya habari uone ni kesi ngapi kuhusu upigaji bandarini badala ya kubishana kingese hapa.
 
Kama gharama ya material imepanda kwa asilimia hizo je pato la raia pia limepanda kwa asilimia hizo?

Au vinapanda upande wa manunuzi ya serikali tu huku uraiani zikibaki vile vile?
Mwenzio hapo anajiita MamaSamia2025 anadai wafanyakazi wa bandari walikuwa wezi, kumbe gharama za maisha zimepanda kutoka 2007 hadi 2024 kwa asilimia zaidi ya 700 huku mishahara ongezeko halifiki hata asilimia 20.
Pia kumbuka huo uwanja unaojengwa hapo ni nusu ya uwanja wa Mkapa maana ongezeko linakuwa asilimia 1400.
Hili sasa sio asilimia ni asilielfu
Maza anapiga pesa ya kampeni
 
Sio kazi yangu kukuthibitishia maku kama wewe kuhusu huo upigaji. Fuatilia kwenye vyombo vya habari uone ni kesi ngapi kuhusu upigaji bandarini badala ya kubishana kingese hapa.
Maku ni wewe, mama, na baba yako walio kuzaa.
Wewe first na trusted source yako no vyombo vya habari wakati mimi source yangu insider wa TPA no wonder umeshindwa kusema huo upigaji course hujui kitu.
 
Maku ni wewe, mama, na baba yako walio kuzaa.
Wewe first na trusted source yako no vyombo vya habari wakati mimi source yangu insider wa TPA no wonder umeshindwa kusema huo upigaji course hujui kitu.
Kama mama yako amekuwa insider wa TPA ndo itakuwa kweli. Shenz
 
Kama mama yako amekuwa insider wa TPA ndo itakuwa kweli. Shenz
Taja huo wizi wanaiba vipi kama huwezi kaa kimya.
Kama wewe ulikosa nafasi ya kuajiriwa TPA usijenge chuki komaa huko halmashauri pambana sana na uchawa utatoka kuwachukia haikusaidii kitu.
Hela yao ya uhamisho ni sawa na mafao yako ya kustaafu huko halmashauri
 
Hawa wafanyakazi hawakupaswa kupewa jukumu la kuchagua TPA au DP World. Nionavyo mimi ilitakiwa TPA kukabidhi wafanya kazi wote waliokuwa chini ya TPA kwa DP world, Muundo wa TPA uvunjwe na ubaki uongozi wa TPA kusimamia tu uendeshaji wa DP world na kuhakikisha hawa DP World hawatanyanyasa wafanyakazi na kuhakikisha malipo yao yanafuata makubaliano ya mkataba, na kuhakikisha mkataba wenyewe unaenda kama ulivyopangwa.

Sasa TPA inabaki kufanya nini ilkiwa DP World anapewa Bandari ya Dar es Salaam na zingine na za maziwa yote, kama sikukosea mkataba ulikuwa unasemaje.

TPA iji disolve yenyewe, wafanyakazi wote waende kule DP World kwa mama Kizimkazi.
sio rahisi kwa ule mkataba mmh
 
Back
Top Bottom