Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Nitajie huo upigaji wa TPA tuujuePole sana kama mpaka leo hujajuwa upigaji wa watu wa TPA
ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie huo upigaji wa TPA tuujuePole sana kama mpaka leo hujajuwa upigaji wa watu wa TPA
ova
Hebu acha utaahira. Kila mara tunasiki kwenye vyombo vya habari wanaopelekwa mahakamani kutokea TPA kwa matumizi mabaya ya fedha huwa ni majini? Hata hapa JF search TPA utapata majibu ya swali lako. Pumbavu sanaHebu tueleze mkuu upogaji wa TPA ni upi!?
Mtu anayehusika na kuchukua kodi ni TRA hao TPA wanapiga madili gani!?
Au ndio hearsay
Uujue wewe na nani? Acha kujitoa akili.Nitajie huo upigaji wa TPA tuujue
Watu wanajifanya hawaelewi kabisa. Enzi za Magu kuna madogo walifikishwa mahakamani kwa upigaji wa bilioni 10. Yaani group zima ukilicheki ni vijana wadogo watupu.Pole sana kama mpaka leo hujajuwa upigaji wa watu wa TPA
ova
Uwe unanitaja endapo umeandika point.Kama gharama ya material imepanda kwa asilimia hizo je pato la raia pia limepanda kwa asilimia hizo?
Au vinapanda upande wa manunuzi ya serikali tu huku uraiani zikibaki vile vile?
Mwenzio hapo anajiita MamaSamia2025 anadai wafanyakazi wa bandari walikuwa wezi, kumbe gharama za maisha zimepanda kutoka 2007 hadi 2024 kwa asilimia zaidi ya 700 huku mishahara ongezeko halifiki hata asilimia 20.
Pia kumbuka huo uwanja unaojengwa hapo ni nusu ya uwanja wa Mkapa maana ongezeko linakuwa asilimia 1400.
Hili sasa sio asilimia ni asilielfu
Sawa kiongozi, ngoja niandike point sasa.Uwe unanitaja endapo umeandika point.
Sasa nafikiri kila mtanzania ameanza kuwaelewa TEC na Chadema,Dr Slaa na Mwambukusi!Nakuelewa, Lakini hawa TPA watakuwa ama WALITUDANGANYA au WAMEKIUKA WALICHOTUAMBIA. Walisema Hakuna mtanzania anayefanya kazi TPA atakosa ajira au kufukuzwa kwa sababu ya ujio wa DP World.
Na kwa mtizamo wangu hawa TPA walitakiwa wawaamishe wafanyakazi wao wote na mikataba yao ya awali ya TPA kwenda DP World. Na DP World alipaswa awapokee na kuwapa majukumu kulingana na mpangilio wake wa kazi na sio vinginevyo. TPA ambayo ndiye msimamizi wa ajira zao alipaswa kuhakikisha hilo takwa linatekelezeka na sio vinginevyo, kupewa option ya kuchagua ni kuingizana mkenge.
Inakuwaje nikichagua kutoka TPA na kwenda DP World nikafika kule DP World akasema sina qualification za kutosha au uwezo wa kufanya kazi naye, na kunifukuza? Apo lawama anabeba nani? TPA au Dp World?
TPA na serikali waache kulaghai watu na waweke mambo wazi, na hao wafanyakazi watulize akili ningekuwa mimi ni bora nibaki na TPA tumalizane kwanza, tulipwe malipo yetu na stahiki zote za wao TPA kukatisha ajira yetu. Kisha nitaenda DP World kuomba kujaribu zali nikipata sawa nikikosa sawa, vinginevyo ni kuwanyima raia haki zao.
Haujui kitu ndio maana umeshindwa kusema huo upigaji.Uujue wewe na nani? Acha kujitoa akili.
Too lateSasa nafikiri kila mtanzania ameanza kuwaelewa TEC na Chadema,Dr Slaa na Mwambukusi!
Sio kazi yangu kukuthibitishia maku kama wewe kuhusu huo upigaji. Fuatilia kwenye vyombo vya habari uone ni kesi ngapi kuhusu upigaji bandarini badala ya kubishana kingese hapa.Haujui kitu ndio maana umeshindwa kusema huo upigaji.
TPA wanamishara mizuri ambayo hata mhudumu kuwa na gari sio ajabu. Posho zao zinatosha kuwa mshara wa mtu flani. Mtu yeyote wa bank anayetoa mikopo hawezi kusita kumpa mtu wa TPA
Kwamba vyombo vya ulinzi na usalama havipo TPA? huna akiliWewe inajulikana itikadi yako kwa hiyo ulichosema ni sahihi kulingana na itikadi yako.
Mama yako anajua kama nina akili au sina. KamuulizeKwamba vyombo vya ulinzi na usalama havipo TPA? huna akili
Maza anapiga pesa ya kampeniKama gharama ya material imepanda kwa asilimia hizo je pato la raia pia limepanda kwa asilimia hizo?
Au vinapanda upande wa manunuzi ya serikali tu huku uraiani zikibaki vile vile?
Mwenzio hapo anajiita MamaSamia2025 anadai wafanyakazi wa bandari walikuwa wezi, kumbe gharama za maisha zimepanda kutoka 2007 hadi 2024 kwa asilimia zaidi ya 700 huku mishahara ongezeko halifiki hata asilimia 20.
Pia kumbuka huo uwanja unaojengwa hapo ni nusu ya uwanja wa Mkapa maana ongezeko linakuwa asilimia 1400.
Hili sasa sio asilimia ni asilielfu
Toka jamaa amekutekeleza na mimba umekuwa na msongo wa mawazo haswaMama yako anajua kama nina akili au sina. Kamuulize
Maku ni wewe, mama, na baba yako walio kuzaa.Sio kazi yangu kukuthibitishia maku kama wewe kuhusu huo upigaji. Fuatilia kwenye vyombo vya habari uone ni kesi ngapi kuhusu upigaji bandarini badala ya kubishana kingese hapa.
Kama mama yako amekuwa insider wa TPA ndo itakuwa kweli. ShenzMaku ni wewe, mama, na baba yako walio kuzaa.
Wewe first na trusted source yako no vyombo vya habari wakati mimi source yangu insider wa TPA no wonder umeshindwa kusema huo upigaji course hujui kitu.
Taja huo wizi wanaiba vipi kama huwezi kaa kimya.Kama mama yako amekuwa insider wa TPA ndo itakuwa kweli. Shenz
Killing me softly, like Fugees 😁
Msemo huu una maana gani
sio rahisi kwa ule mkataba mmhHawa wafanyakazi hawakupaswa kupewa jukumu la kuchagua TPA au DP World. Nionavyo mimi ilitakiwa TPA kukabidhi wafanya kazi wote waliokuwa chini ya TPA kwa DP world, Muundo wa TPA uvunjwe na ubaki uongozi wa TPA kusimamia tu uendeshaji wa DP world na kuhakikisha hawa DP World hawatanyanyasa wafanyakazi na kuhakikisha malipo yao yanafuata makubaliano ya mkataba, na kuhakikisha mkataba wenyewe unaenda kama ulivyopangwa.
Sasa TPA inabaki kufanya nini ilkiwa DP World anapewa Bandari ya Dar es Salaam na zingine na za maziwa yote, kama sikukosea mkataba ulikuwa unasemaje.
TPA iji disolve yenyewe, wafanyakazi wote waende kule DP World kwa mama Kizimkazi.