Mamlaka ya kiroho ndani ya mbingu - je, yalikuwa na pande mbili?

Ule ushauri alioomba ndo unamgharimu mpaka leo, pengine angemuumba pekee yake yasingetokea haya.Binaadam amekuwa msumbufu kwa mungu.
 
Roho mtakatifu ni kama kusema mama anaupiga mwingi.Ni ile nguvu ya kiutendaji ya Mungu.
 
Nimerudia huu uzi wa miaka zaidi ya minne na kusoma comment zangu nikajikuta najihubiria! Wakati mwingine unaweza kuandika jambo na baadae ukisoma unaweza kukana mwandishi si wewe!
 
Nimerudia huu uzi wa miaka zaidi ya minne na kusoma comment zangu nikajikuta najihubiria! Wakati mwingine unaweza kuandika jambo na baadae ukisoma unaweza kukana mwandishi si wewe!
Kichwa kikiwa na utulivu lazima utakachoandika kitakushangaza hata wewe mwenyewe siku ukija kurudia kukisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…