X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,791
- 15,016
JamiiForums.com
How uko nyuma yake? Ogopa sana watu wanaokuambia tuko nyuma yako,where is Lissu, where's Mdude!?
Badala ya kumfungia aliezisambaza kutoka jikoni wanatufungia sisi. UpuuziNadhani ni zile picha za mama Abdul akikumbatiana na yule raia fisadi wa Zimbabwe,nilijua hapa lazima kiumane,
Hatuna amani tena
Dah sijui nitamtangazaje tena imam Hussain ibn Ali AS kipenzi chetu cha dhati mwamba wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Daaah mwisho mwisho tuna comment wazee tunakutana kijiwe gani sasa kama Jf inafungwa?
Mama Antipas tumefikiwa...